Mke wangu ametoa mimba kwa siri

mr lito

Member
Jan 25, 2016
74
31
Habari ndugu zangu,

Juzi ilikua ni siku ya mshtuko baada ya mke wangu kuzidiwa ghafla nilipompeleka hospitali nikaambiwa mfuko wa kizazi ni mchafu kwa kua alitoa mimba hivi karibuni.

Nashindwa kwa kuanzia
 
Habari ndugu zangu, juzi ilikua ni siku ya mshtuko baada ya mke wangu kuzidiwa ghafla nilipo mpeleka hospital nikaambiwa mfuko wa kizazi ni mchafu kwa kua alitoa mimba hivi karibuni..
Nashindwa kwa kuanzia
1)Mtoto hakuwa wako
2)Hajapanga au hakupanga kuzaa na wewe
Kaa nae kwa upole akueleze ni sababu ipi kati ya 1 na 2!!!Kama ni ya1 angalia unakosea wapi na kubwa ni wew kuwa busy xana na unashndwa mtimizia haja zake kitandani. kama ni 2 huyo hakupendi mwambie arudi kwao maana sasa hakuna namba nyingine.
 
Daah...ugonjwa umemuumbua asee. Mwambie akwambie ukweli, akikupa uthibitisho mtimue tafuta demu mwingine.
 
uyo atakuja kukutoa hata wewe! kama ametoa mimba basi ilikuwa ya mchepuko! unatakiwa uanze kwa ukali wala usimchekee uyo! muulize akupe sababu sita au zaidi za kutoa mimba??
 
Habari ndugu zangu,

Juzi ilikua ni siku ya mshtuko baada ya mke wangu kuzidiwa ghafla nilipompeleka hospitali nikaambiwa mfuko wa kizazi ni mchafu kwa kua alitoa mimba hivi karibuni.

Nashindwa kwa kuanzia
Si ndio hapo
 
Mpongeze kwa hilo!, kutoa mimba si kazi rahisi "Nani kama mama!". Ameamua kuua kwa kukusudia, ameamua kumpuuza Mungu wake, mke wako ni jasiri sana kuliko hata wewe; sema tu ana sura laini kuliko wewe!. Mwanamke akiamua kutenda dhambi anatenda bila hata kukuogopa wewe! isipokuwa wewe ukitaka kutenda dhambi utamuogopa mke wako hutomuogopa Mungu!.. ...Nakushauri mpongeze mkeo kwa kutoa ujauzito maana angeamua kukutoa wewe...tungeona a/c yako ya jamiiforum inakuwa DORMANT
 
mmmh! Subiri arudi kwenye uimara wake then muweke chini akwambie ukweli usije ukawa unapigiwa mkuu
 
Hapo kuna mengi, pengine iliharika hakusema, au aliamua kuichomoa kutokana na kutokuwa na Imani na wewe, au kuna mtoto mwingine mdogo, sema tu alitakiwa akuarifu hata baada ya kuona hali imekuwa mbaya.
 
Mpongeze kwa hilo!, kutoa mimba si kazi rahisi "Nani kama mama!". Ameamua kuua kwa kukusudia, ameamua kumpuuza Mungu wake, mke wako ni jasiri sana kuliko hata wewe; sema tu ana sura laini kuliko wewe!. Mwanamke akiamua kutenda dhambi anatenda bila hata kukuogopa wewe! isipokuwa wewe ukitaka kutenda dhambi utamuogopa mke wako hutomuogopa Mungu!.. ...Nakushauri mpongeze mkeo kwa kutoa ujauzito maana angeamua kukutoa wewe...tungeona a/c yako ya jamiiforum inakuwa DORMANT
Du si mchezo mkuu
 
Duuh..Angekuwa wangu huyo ingebidi ajaze counter book 4 za maelezo ndo nimuelewe
 
Baadhi ya maamuzi unakuja kujua jinsi ya kufanya huku umeshayafanya.

Learning from experience.
 
pole ila pia alifanya makosa kutoa peke yake angetolea hospital najua ni dhambi.......... kaa nae muulize kwa nini ametoa ila sababu kubwa yaweza kuwa siyo yako . au hayupo tayari kuzaa kwa sasa... au ananyonyesha mtoto
 
1)Mtoto hakuwa wako
2)Hajapanga au hakupanga kuzaa na wewe
Kaa nae kwa upole akueleze ni sababu ipi kati ya 1 na 2!!!Kama ni ya1 angalia unakosea wapi na kubwa ni wew kuwa busy xana na unashndwa mtimizia haja zake kitandani. kama ni 2 huyo hakupendi mwambie arudi kwao maana sasa hakuna namba nyingine.
Waanakuwaga wakali kma moto wa kifuu pale utakapotaka kuwauliza, potezea.
 
Itakuwa alitoa mimba ya mtu wa karibu, au unayefahamiana nae. Kwa sababu angekuwa wa mbali asingeitoa kwa kuwa angekuwa na imani usingeweza kujua. Anzia kwa majirani zako na rafiki zako wote wa karibu, utamjua tu muharibifu wako... ukimjua na wewe lipiza... ingawa haitoleta heshima lakini itapunguza machungu...
 
Back
Top Bottom