ANKOJEI
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 996
- 743
Jana katika pitapita zangu Pub flan A Town maarufu sana mitaa ya Kati, nimesikia meza ya pili jamaa akilalamika ya kwamba rafiki yake anatembea na mke wake pia ameaanza kumfatilia nyumba ndogo wake.
Nilijaribu kusikiliza kwa makini nikagundua ya kwamba jamaa huyu huko nyuma amewahi saidiwa mtaji na huyu mgegedaji na pia nahisi kama anadaiwa na rafiki yake huyu mgegedaji.
Kwa kuangalia uso wa jamaa aliyekuwa analalamika niliona uso wa hasira ya kutaka kuua. Swali najiuliza huyu mgegedaji kwa nini anadharau hivi?, au huenda kuna siri ambayo mke wake mlalamikaji kamwambia huyu mgegedaji ndio jamaa kamfuata hadi nyumba ndogo wake.
Ila sasa mimi binafsi nikahisi hapa huenda sio swala la pesa au nini hapa huenda jamaa sio mfungaji mzuri wa magoli, au ni wale mabeki wanaojifunga magoli, nikatamani kujua sana undani wake, lakini du sikuthubutu kujisogeza zaidi yao.
Kwa mwonekano jamaa anaonesha anazo, maana nilikuwa nasikia simu nzitonzito za madili ya mjini Arusha - Madini na Ujenzi. Alikuwa anarudia rudia kumwuliza jamaa ake waliokaa wote ""NIMFANYAJE FRANK? Au ungekuwa wewe ungefanyaje Madiii? Mbona ananifuata fuata sana, pesa zake nampa July, ananifatafata nini?
Jamani mwaka mbaya huu, lipeni madeni ya watu otherwise wanaume watawafatilia madhaifu yenu hadi vitandani, la pili ungekuwa wewe ungefanyaje?