Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wakuu habari, Nimekuwa member wa JF since 2012, tangu wakati huo sijawahi kuanzisha thread yeyote isipokuwa nimekuwa mchangiaji wa baadhi ya mada zinazowasilishwa JF sanjari na kusoma thread...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
habari wana jf, kichwa cha habari chajieleza; mimi ni binti mwenye umri wa miaka 28, mkristu,mweusi kwa rangi(chocolate), elimu yangu ni ya ngazi ya shahada, ni muajiriwa serikalini. ninatafuta...
1 Reactions
90 Replies
8K Views
Nimeajiriwa serikalini mshahara Wangu wa kawaida sana yaani mshahara wa graduate kila Siku nimatatizo ikifika tarehe10 Sina kitu nikiangali nilichofanya sikioni jamani nitumie kanuni gani less...
0 Reactions
73 Replies
13K Views
Nasikia yapo maneno ambayo ni hatari sana kwa wanandoa kuleta doa kwenye ndoa yao na hata kuhatarisha mahusianao kuvunjika. Yamkini umo humu na uliwahi kuambiwa neno ambalo bado linakugusa sana...
0 Reactions
41 Replies
7K Views
Habari za mchana wana Jf's Jamani kuna jambo limenitokea kwa hiyo naomba ushauri wenu kwani naamini nikichanganya na zangu hapa ni mahali sahihi. Ni leo usiku ambapo pamoja na kwamba mke wangu...
2 Reactions
46 Replies
6K Views
Wasalam! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, umri 18-25 Kwa maelezo zaidi pm
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Habarini wadau, Kama kichwa cha habari kinavojieleza, nimekuwa na mpenzi wangu kwa mahusiano ya kimapenzi kwa muda wa miaka miwili sasa, ila tatizo lake ni pale tunapokuwa tunakutana kimwili huwa...
0 Reactions
57 Replies
6K Views
ACHA MAISHA YA ZIMA MOTO Watu wanaofanya kwenye idara ya zima moto kazi yao ni moja tu, kusubiri moto utokee na kwenda kuuzima. Kama hakuna moto, hawana kazi kubwa, ila moto unapotokea ndipo...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 33 , natafuta rafiki wa kike ambae tukikubaliana na kuelewana tutaanzisha familia .awe na elimu yoyote,kabila lolote,rangi yoyote ila awe msafi tu.
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Hi guys Hivi karibuni tulikua tunasuluhisha mgogoro wa ndoa wa family friend ambapo niliombwa na kikao kuongea na mwanamke aniambie shida ni nn hasa maana amekua akimsumbua mumewe kwa uzinzi...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Hizi ni Njia 11 za kumfanya mpenzi asitoke nje 1. TAMBUA THAMANI YAKE Unapokuwa Umeapa Kuwa Utampenda Mwenzako Hadi Kifo Kitakapowatenganisha, Uwe Umefanya Hivyo Kwenye Nyumba Ya Ibada Au...
2 Reactions
7 Replies
10K Views
salam kwenu wote member jf natarajia kwenda nchin kenya jiji la nairob kikaz naomba kufaham mnijuze mlioko huko au ambao mmeshaakaa huko madem wa huko n km wa bongo au mda wowote una aploch au...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
heshima kweli wadau.. kiukweli wanawake wa makabila madogo na yasiyo na mbwembwe ni ngumu sana kukutana nao kwenye vurugu za maisha za kila siku.. makazini 80% ni wachaga, wahaya etc, vyuoni 80%...
6 Reactions
99 Replies
17K Views
Greetings member, Kuna baadhi ya wanawake, walio kwenye ndoa na wanaosubiri posa wanakunywa pombe kama wanaume! Wanaenda kwenye mabaa, wanapiga vyombo vizito wengine hata wanaume hatuwafikii...
7 Reactions
132 Replies
13K Views
Habari wadau, Ni matumaini yangu mko poa. Leo ningependa tuangalie misingi ile ya zamani iliyofanya ndoa nyingi zikadumu na hata mabinti walikuwa wakiolewa wakiwa na bikira tofauti na leo...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wanajamvi, Nimeishi kinyumba na huyu baba tangu mwaka 2013, amenisaidia kwa mengi sana likiwamo kunitafutia kazi Bandarini pamoja na kunipatia usafiri. Nisiwachoshe, hivi juzijuzi...
0 Reactions
382 Replies
45K Views
Wadau habari Juzi nilitoka job mapema sikua najisikia vizuri, nilipofika home nikalala muda mrefu sana, nilipoamka jioni sana nikaenda nyuma ya nyumba kujinyoosha nashangaa kumkuta shemeji mdogo...
2 Reactions
104 Replies
17K Views
Muwe romantic banah! Pale unapovalishwa pete ya thamani ya uchumba na mwenza wako usiishie hapo! Uwe umeandaa kitu cha kumbukumbu kitakachomfanya mwenza ajihisi kuwa na furaha zaidi siku hiyo...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
My daughter, kuanzia kesho hutakuwa ukiitwa tena jina langu. Utakuwa na furaha kuolewa na mwanaume uliyempenda. Usini miss mimi kwasababu nimeshatimiza majukumu yangu. Sasa ni wakati wa kutimiza...
13 Reactions
17 Replies
5K Views
Back
Top Bottom