Ushauri: Nimewapenda ndugu wa kuzaliwa tumbo moja na nimeshafanya mapenzi na mmoja

mjukuum

JF-Expert Member
Dec 8, 2014
5,258
2,840
Kichwa kinajieleza wazi watoto wanne wa familia moja wananimaliza hakika nimeduu Na mmoja wao lkn hawa wenhine hawajui in wazr sn ila hawamzidi huyu nilieduu nae ila tamaa zinanisukuma kuwaunganishia na wao
 
Tukwambie nini sasa? Hiyo dhambi yako ya unafiki na uzinzi ikutafune mwenyewe usishirikishe watu.
 
Kichwa kinajieleza wazi watoto wanne wa familia moja wananimaliza hakika nimeduu Na mmoja wao lkn hawa wenhine hawajui in wazr sn ila hawamzidi huyu nilieduu nae ila tamaa zinanisukuma kuwaunganishia na wao

Wahenga walisema ''Tamaa mbele, mauti nyuma''
Kwa ufupi tu utakua bado huna majukumu, muda ukifika hakika utatulia au kuacha kabisa.
 
Tengeneza vita waqt huna hata mundu hilo jambo si jema hata kidogo chuki unayotaka kuijenga aidha mtaumia wote au wataungana kukumaliza.
 
Tatizo la ajira ni kubwa sana vijana wanakufa kwa stress za kukosa kazi nina uhakika ungelikuwa na kazi usingeliandika upuuzi huu asubuhi yote hii sasa hivi ungelikuwa unapambana ofisini.
 
Kichwa kinajieleza wazi watoto wanne wa familia moja wananimaliza hakika nimeduu Na mmoja wao lkn hawa wenhine hawajui in wazr sn ila hawamzidi huyu nilieduu nae ila tamaa zinanisukuma kuwaunganishia na wao
Una laana ukamwone Gwajima
 
Pole sana, uzuri ni kwamba haya mambo yanaenda na kurudi nyuma, kila unachofanya unapanda mbegu.Kitakurudia tu.
 
Back
Top Bottom