Ni haki mke kumnyima mume unyumba?

Ni haki mke kumnyima mume unyumba?

b2015

Member
Joined
Nov 14, 2013
Posts
42
Reaction score
22
WanaJF,

Nisaidieni kujua hili, kwa sababu zozote zile ni haki mume kunyimwa kufanya mapenzi na mkewe wa ndoa? Nini suluhisho lake ni nini?
 
Back
Top Bottom