Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

NI VEMA UKAFANYA HAYA KWENYE MAISHA MAISHA YAKO YA KILA SIKU 1. Usimwamini 100% mtu uliyemjua ukubwani. 2. Anayejidai anakupenda sana chunguza kwanini. 3. Anayekuletea habari kila siku mara...
19 Reactions
44 Replies
6K Views
Mimi ni kijana umri 27, nahitaji galfrend, sifa zozote sichagui aliyetayari ani pm
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari wanajf! Ni hivi huyu ni jamaa yangu sababu mjomba wake alimuoa shangazi, na pia tumesoma darasa moja O level na tuliunda group discussion moja. Tumekuja kumpenda dada mmoja kwa nyakati...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
“Na nitakachomfanyia dada yako atakusimulia kesho, kama hajakusimulia utayaona machozi yake kwa mara ya kwanza katika maisha yako” Jackson aliondoka kwa hasira. Jackson hakumsimulia yeyote yule...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wanajanvi, Naomba munishauri kwa hekima mimi ni muislamu naruhusika kuoa hadi wake 4 kwasasa niko na 1 nataka kuongeza wa 2. Mimi kazi yangu ni kutoa huduma kwa jamii, katika kazi yangu...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Kwema wanaume wenzangu? Ebana jana nilikua tilalila mbaya,asa design flani mshikaji wangu flani wa kitambo ambae tumekua tukisaidiana mambo kadhaa ya kimaisha nikamzngua,inasemekana nimemtukana...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Salaam wanajamii wenzangu,mwenzenu ninajirani angu najitahidi kumuelewa ila mh ngumu sasa. Akipata matatizo hasa yakuugua kuuguliwa hasemi kama anamatatizo unayasikia kwa watu basi kwaaibu...
2 Reactions
34 Replies
4K Views
Baada ya kujifunza mengi tangu nikiwa chuoni na hata sasa nafanya kazi nimeona niulize jambo hili kwenu wadau; Inakuwaje msichana( mwanamke) analalamika na kusema huyu kaka/Baba ananisumbua sana...
3 Reactions
27 Replies
4K Views
Ni hivi majuzi tu mdogo wangu wa mwisho kafunga chuo akaja nyumbani kwangu kukaa DSM, nikaona nimtafutie shughuli ya kufanya ofisini kwangu, amefanya asubuhi naondoka naye na kurudi naye jioni...
1 Reactions
56 Replies
5K Views
Habari zenu wanajamiiforums. Binafsi miaka ya karibuni naona kasi ya sisi wanaume kuoa au kufunga ndoa inapungua sana yaani sasa hivi kuoa kumeisha kabisa hivi kuna nini wanaume wenzangu. Hata...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Inashangaza sana, wanaume tukitoka nje ya ndoa huwa tunarudi na nidhamu tu na zawadi kedekede nyumbani na malavidavi ya kutosha kwa mama watoto. Lakini wao wakitiwa nje basi nyodo mtindo mmoja...
0 Reactions
153 Replies
24K Views
Nasema hivi maana wanaume mmekuwa ni watu wa kutuchulia kama wanaume wenzenu vile. Sisi wanawake hatuko hivyo jamani tunataka kusikia maneno matamu, kama mke wangu umependeza, mke wangu una...
24 Reactions
171 Replies
16K Views
Umri wangu ni 23.Umri wa ni mtafutae 28-35..Dini mkristo mwenye hofu ya mungu.Kwa mawasilino 0744818200.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Baada ya wazazi wawili kutengana mara nyingi mtoto hubaki kwa mama na hapo ndipo mama hutumia nafasi hiyo kujenga chuki mbaya kwa mtoto kumhusu babake. Mtoto akiwa mdogo ataanza kusimuliwa mabaya...
8 Reactions
34 Replies
5K Views
Wazima wadau, Naulizia sehemu watakayo kuwa wanatengeneza dread lock hair kwa mtu anayeanza kabisa. Iwe shinyanga mjini au kahama sio mbaya naweza enda weekend.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Usiyasikie mapenzi ukadhani ni kitu cha mchezo, saa nyingine watu hujiua kwa ajili ya mapenzi, wengine hupoteza kazi na hata ramani ya maisha, hivyo usisikie mapenzi ukayachukulia kitu rahisi...
7 Reactions
41 Replies
6K Views
Habari zenu wakuu, Siku zote napenda tufundishane na tubadilishane mawazo ujanja ubunifu n.k Leo naomba tufundishane maneno mazuri ya kumwambia mpenzi wako yatakayomfanya ajisikie vizuri hasa...
0 Reactions
5 Replies
19K Views
Hebu tubadilishane mawazo hapa Nikipi kigumu kwako na kina kuumiza sana kinapo toke...! KUACHA vs KUACHWA Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
0 Reactions
63 Replies
7K Views
0 Reactions
12 Replies
5K Views
VIDEO:MSICHANA ALIEBAKWA NA BABA AKE ASIMULIA MKASA MZIMA
0 Reactions
2 Replies
7K Views
Back
Top Bottom