Nianze kuwapongeza wale wanaoitumia siku hii kuwakumbuka ndugu na jamaa zao. Hawa wanaonyesha uhalisia na maana ya siku hii.Lakini asilimia kubwa huitumia siku hii kutuma kadi ama zawadi kwa...
Ikiwa leo ni siku ya wapendanao ingawaje siyo Utamduni wetu lkn kama yalivyo mambo mengine mengi tumeuchukuwa na kuukubali, sasa nina swali kwa wale waliooa au kuolewa kwa siku kama ya leo, Je...
Leo nimekumbuka story moja ya zamani kidogo.
Nilipomaliza darasa la saba 2001 nilienda kwa ma mkubwa ambako nilikuwa nimetafutiwa shule ili nianze form one. Niliwahi mwezi kabla shule...
Kwema wanaume wenzangu?
Ebana jana nilikua tilalila mbaya,asa design flani mshikaji wangu flani wa kitambo ambae tumekua tukisaidiana mambo kadhaa ya kimaisha nikamzngua,inasemekana nimemtukana...
Sio mke wangu bado ni ule uchumba wa mwanzo tu. Naombeni mawazo yenu nimchukulie zawadi gani mpenzi wangu huyu ili kuonyesha kumjali kwa siku muhimu kama hii. Bajeti yangu ni sh 30,000/=
Katika raha ya kiwango cha juu sana kuliko zote duniani ni ile raha ya kujamiana ambayo wengi husema utamu ule sio utamu bali ni raha kwasababu utamu huonjwa kwa ulimi ili kutambua utamu lazima...
Mababu zetu walikuwa na maana sana kuoa wake wengi sisi wanaume miili tofauti na wanawake sasa kukaa na mke mmoja ni kujitesa inatakiwa tuwe tunaoa wake kuanzia wawili na kuendelea kama una uwezo.
To all my committed friends happy valentines day. To all single ones happy independence day. To all who were once in love happy heroes day. To those who are fighting happy boxing day. To those who...
Leo ni weekend, kama kawaida hupenda kwenda "kijiweni" kupumzika na wenzangu na kubadilishana mawazo juu ya mambo mbali mbali baada ya u-busy wa kazi wiki nzima.
Mmoja wetu tukiwa tumekaa SMS...
Good evening ladies and gentlemen,
Natumai nyote mko poa kabisa mnaenjoy w'end, siku ya jumamosi au w'end bwana ni nzuri sana maana wale wazee wenzangu wa kerorooo......najua sasahivi wao ndio...
Hari zenu wakuu,
Hapa Tanzania kuna makabila mengi na cha kujidai zaidi wote tunaishi kama ndugu kwa upendo na amani.
Na tunamambo mengi ya kufundishana kwa leo naomba tufundishane maneno haya...
-Style ya kufanya mapenzi ya kifo cha mende (missionary) ndio pekee inayotambuliwa kisheria washngton DC,nyingine zote ni kinyume cha sheria,ukibainika unaishia jela,polisi wanaweza kuruhusiwa...
Habarini ndugu wanajukwaa,
Kama mjuavyo katika mapenzi mda mwingine mwanaume unaweza kuweka mahusiano na mwanamke kwa ajili ya kupunguza stress, nilikuwa namkumbuka sana mchumba wangu ambaye...
Asilimia kubwa ya wanaume masikini huonyesha mapenzi ya dhati atawahi nyumbani mapema kabla ya saa 2, atakushirikisha mambo yake yote, atakua muwazi, atakusaidia kupika, kubembeleza mtoto siku...
Bwana yesu asifiwe watanganyika wenzangu?
Naomba kuambiwa nini cha kufanya, niko kwenye mahusiano ya kimapenzi na binti mmoja{hawa mabinti wa dot com}kesho ni siku yake ya kuzaliwa, tunaishi...
Karibu asilimia 90 ya vijana wa kiume na asilimia 70 ya vijana wa kike hujichua au kupiga punyeto.na baadhi ya watu wazima huanza punyeto wakiwa wazima au huendelea na kupiga punyeto pamoja na...
Niseme tu ukweli kuna dada mmoja ambae ni mlokole aliyetukuka nakaa nae jirani na ni mzuri hadi nahisi wakati mwenyezi Mungu anamuumba alikuwa katika ubora wake, ila napata tatizo na naingiwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.