Kipi kiguma kwako

shabaan Dogo

Senior Member
Apr 27, 2014
197
79
Hebu tubadilishane mawazo hapa
Nikipi kigumu kwako na kina kuumiza sana kinapo toke...!

KUACHA vs KUACHWA


Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Kuacha kwangu ni ngumu sana. Bora niachwe, niraumia lakini nitakuwa sina guilty..yaani nakuwa huru na free to move on.
 
NO one.wala sijui mapenz yanaumizaje...!najua kuacha tuuh.
 
yaani mi sijui huwa naachwa au naacha, unakuta tu mawasiliano yamekatika kila mtu na hamsini zake
 
Aaah, Aisee......!
Mimi kuacha ndo tatizo kubwa yaani mtu una mmimina lakini hamiminiki, unamwaga lakini hamwagiki ukimwambia basi chukua roho yangu sasa anaanza kulia.
Ungekua wewe mleta maada ungeona lipi Gumu?
 
Back
Top Bottom