Kizazi hichi hakuna anaetaka uzee kila mmoja anataka aendelee kuitwa baby.....Watu wanashinda gym na kupambana na makeup na maviatu yenye visigino virefu hadi balnce wanakosa kabisa ya kutembea ila wanapambana tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.