Alaik
Member
- Jul 30, 2012
- 61
- 119
Baada ya kujifunza mengi tangu nikiwa chuoni na hata sasa nafanya kazi nimeona niulize jambo hili kwenu wadau;
Inakuwaje msichana( mwanamke) analalamika na kusema huyu kaka/Baba ananisumbua sana. Wengi wanasema nimeshamkataa lakini bado hasikii, sasa swali langu linakuja kama ulishamkataa anakusumbuaje? Maana simu akipiga unapokea, SMS akituma unajibu, akikuita mahali unaenda sasa nani msumbufu? Natamani kusikia maoni yenu tofauti tofauti kulingana na background zetu toafauti juu ya mahusiano maana Mimi binafsi naamini msichana akiamua kusema NO huku anamaanisha basi ni ngumu kwa mwaume kumsumbua je hili jambo likoje hasa kuhusu nani msumbufu!
Karibu kwa maoni, ushauri pia mawaidha na uzoefu