Sehemu wanayotengeneza dread lock kwa anayeanza kwa shinyanga mjini

janescom

Senior Member
Aug 11, 2014
120
150
Wazima wadau,
Naulizia sehemu watakayo kuwa wanatengeneza dread lock hair kwa mtu anayeanza kabisa. Iwe shinyanga mjini au kahama sio mbaya naweza enda weekend.
 
Wazima wadau,
Naulizia sehemu watakayo kuwa wanatengeneza dread lock hair kwa mtu anayeanza kabisa. Iwe shinyanga mjini au kahama sio mbaya naweza enda weekend.
Wewe ni mtaalam wa issue hizo nikupe connection?
 
Nashukuru mpendwa, ntapatafuta kesho ili nijipange kwa wikiend nimechoka kusuka. Wadau wa shy townnn tupogo mdogo mdogo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom