Quinton Canosa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 1,220
- 1,225
Habari zenu wanajamiiforums.
Binafsi miaka ya karibuni naona kasi ya sisi wanaume kuoa au kufunga ndoa inapungua sana yaani sasa hivi kuoa kumeisha kabisa hivi kuna nini wanaume wenzangu.
Hata nikihudhuria kwenye ndoa nyingi sasa hivi nakuta wakina dada vituko ndio wanaoolewa wakati masista duu wapo kibao mtaani wamepoteza dira.
Hivi jamani tujadiliane kuna mdudu gani hapa kati?