Emoj
JF-Expert Member
- Oct 9, 2015
- 838
- 1,302
Nasema hivi maana wanaume mmekuwa ni watu wa kutuchulia kama wanaume wenzenu vile.
Sisi wanawake hatuko hivyo jamani tunataka kusikia maneno matamu, kama mke wangu umependeza, mke wangu una kauso kazuriiiii, smtms mnatuogesha na kutuvalisha nguo.
Yaani tunataka zile surprise za compliment tamutamu
Sio mnatufanya kama wanaume wenzio unakuta mwanaume hamsifii mke wake,akipikiwa chakula kitamu hasemi msosi mtamu, hamuiti mke wake majina matamumata ye utamsiki tu anaita tena kwa hasira bila kuweka uromantic wowote sura kavu "mama swalehe njoo haraka".
Mama swalehe ndo nini sasa??? si muite majina matamu jamani. Kuoa mwanamke haimaanishi kwamba uache kumsifia na kumpa maneno matamu mama watoto wako,acheni kutuchukulia kama wanaume wenzenu maana wanaume ndo ambao wao hawajali hizo.
Jamani sisi ni wanawake,tunapenda kusia maneno matamu matamu na sio mnatupeleka kijeshijeshi.