Habari zenu wanajamiiforums.
Binafsi miaka ya karibuni naona kasi ya sisi wanaume kuoa au kufunga ndoa inapungua sana yaani sasa hivi kuoa kumeisha kabisa hivi kuna nini wanaume wenzangu.
Hata...
Inashangaza sana, wanaume tukitoka nje ya ndoa huwa tunarudi na nidhamu tu na zawadi kedekede nyumbani na malavidavi ya kutosha kwa mama watoto. Lakini wao wakitiwa nje basi nyodo mtindo mmoja...
Nasema hivi maana wanaume mmekuwa ni watu wa kutuchulia kama wanaume wenzenu vile.
Sisi wanawake hatuko hivyo jamani tunataka kusikia maneno matamu, kama mke wangu umependeza, mke wangu una...
Baada ya wazazi wawili kutengana mara nyingi mtoto hubaki kwa mama na hapo ndipo mama hutumia nafasi hiyo kujenga chuki mbaya kwa mtoto kumhusu babake.
Mtoto akiwa mdogo ataanza kusimuliwa mabaya...
Wazima wadau,
Naulizia sehemu watakayo kuwa wanatengeneza dread lock hair kwa mtu anayeanza kabisa. Iwe shinyanga mjini au kahama sio mbaya naweza enda weekend.
Usiyasikie mapenzi ukadhani ni kitu cha mchezo, saa nyingine watu hujiua kwa ajili ya mapenzi, wengine hupoteza kazi na hata ramani ya maisha, hivyo usisikie mapenzi ukayachukulia kitu rahisi...
Habari zenu wakuu,
Siku zote napenda tufundishane na tubadilishane mawazo ujanja ubunifu n.k
Leo naomba tufundishane maneno mazuri ya kumwambia mpenzi wako yatakayomfanya ajisikie vizuri hasa...
Hebu tubadilishane mawazo hapa
Nikipi kigumu kwako na kina kuumiza sana kinapo toke...!
KUACHA vs KUACHWA
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Matukio mengi yanayosikika ni kwa wanaume eidha kuwabaka au kutembea na binti zao, lakini ni nadra sana kusikia mama anatembea na mwanae au kambaka mwanae wa kiume kuna nini nyuma ya pazia?
kwa karibu miezi minne sasa hali yangu kiuchumi imeimarika mara dufu, hii imepelekea rafiki yangu wa karibu kuja kuazima cash mara kwa mara kwangu
Sasa mkewe ni mfanyabiashara, na nna ukaribu na...
I greet you all my elders,
Hizi sehemu ni maarufu kwa wanaume wenye vipato vya kati na matajiri huenda
kufanya scrub, kunyoa, steamer, kuweka black, mask/facial etc ili kupendeza na
kwenda na...
Kwa hakika mimi uwa nikiwa na pesa nakuwa na mishe mishe nyingi sana, hata nikikutana na demu mkali nakuwa nipo katika kiwango cha juu kama mesi cha kutongoza.
Ninakuwa na hamu ya kukutana na...
Hi wanaboard.
Hope mnaendelea vyema.Japo ni gumu kuleta ombi hili mbele ya JF lakini wacha nilitoe.
Natafuta Mke wa Pili wa Kuoa ili niweze kutimiza maamrisho ya Imani yangu ya uadilifu.
(Quran...
Nimeipata sehemu kwa mtafit mmoja mdada au wadada kama watatu hiv,
Ni kuwa eti asilimia 90% ya wanaume hapa bongo huwa hawatumii CONDOM na ikitokea anatumia ujue ni maamuzi ya mwanamke.
Kwa hiyo...
James,
Siwezi kutazama nyuma kwani nimegundua mapenzi yaweza mkuta mzee au kijana hayajali umri ulio nao.
Kasie mie ni kibibi bin ajuza ngozi imeanza kupata makunyanzi lakini mapenzi yako kwangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.