tang'ana
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 11,877
- 15,444
Kwema wanaume wenzangu?
Ebana jana nilikua tilalila mbaya,asa design flani mshikaji wangu flani wa kitambo ambae tumekua tukisaidiana mambo kadhaa ya kimaisha nikamzngua,inasemekana nimemtukana kwenye simu,asa leo nimempigia msela hapokei,najua atakua amemaindi mbaya.so naomba kupewa maujanja ya kumuomba msela msamaha ile kishkaji yani.