shabaan Dogo
Senior Member
- Apr 27, 2014
- 197
- 79
Habari zenu wakuu,
Siku zote napenda tufundishane na tubadilishane mawazo ujanja ubunifu n.k
Leo naomba tufundishane maneno mazuri ya kumwambia mpenzi wako yatakayomfanya ajisikie vizuri hasa pale anapokuwa amekasirika au anapokua hana furaha.
Mimi naanza;
Mpenzi wangu usighadhibike kukuunja moyo wako ni sawa na kuikunja furaha yangu.Tabasamu lako ni furaha ya moyo wangu.
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums