MADHARA 12 YA KUTOFANYA MAPENZI
KWA MUDA MREFU.
1. Hasira za mara kwa mara katika mambo madogo.
2. Kupendelea sana kuangalia picha za uchi.
3. Kusahausahau.
4. Kupendelea story za mapenzi.
5...
Wanawake wa Dar wana Viwango vyao vya Hela.. Ukiwa unampa 50,000-90,000 utakuwa unaitwa Jina lako tu, Good morning Eddy..Hallow eddY How is your Day...Goodnite eddY.
Ukiwa unampa kati ya 100,000...
Wakuu habari zenu....
Naombeni msaada kwa hili wakuu hivi inakuaje upo kwenye mahusino na huyo mwanamke uliye naye ana kuwa mtu wa lawama kwako mda wote na pia wewe unaonekana mkosefu kwa kila...
Siku hizi vijana wa kileo wamekuja na mpya eti usipowaonyesha mwenza wako wanahisi haupigi kazi, jogoo hawiki, joka wa kibisa n.k. Kama haitoshi wametoa na neno jpya kuwa eti utaitwa midimpozi kwa...
Okay ni hivi, my boyfriend is in Canada and I'm soon going to another country.
Yeye anasema ana mpango tuoane in the future lakini mimi sina huo mpango nae kwa kweli. We are both 20 na sitaki...
Kwa kiasi kikubwa katika suala la kutaka kuingia ndani ya ndoa, wanawake ni wengi ambaohutaka kufunga ndoa kuliko ilivyo kwa wanaume. Hilo tunaliona wazi tokana na shamra shamra ambazo nazo...
Yani story iko hivi, kuna mshikaji wangu kaja kwangu wanaishi na mke wake na mtoto mmoja, lakini kila jukumu la familia analijua mwanaume.
Mumewe kakopa pesa ya kumtoa mke wake hospitali, lakini...
Najuta kwanini nilimpa nafsi shetani nikaachana na kipenzi changu .sasa hivi kila demu nitakaye mpata Majanga .hata yure wa kipindi kire nilipo kuwa homu kwa mzee kitaa ambaye naye niliachanae...
Imebidi nijiulize hili swali, hivi mtu mbinafsi yuko vipi? Je mimi ni mmoja wao?
Kwa mfano nikitaka kitu changu huwa sina compromise, when pursuing something huwa sijali wengine wanafikiri nini...
I greet you my elders,
Mali naongelea neema katika familia ambayo inawapa nafasi ya kumudu mahitaji yao ya chakula na maendeleo.
Familia ikipata neema ya kupata mali baadhi ya ndoa zingine...
1. Usingizi mzuri.
Joto la mwili litakuwa regulated more efficiently.
Hamna distruption na joto inayosababishwa na nguo hivyo usingizi wa pono.
2. Self-esteem booster.
Watu wengi hawajiamini...
Natumai wote mu wazima wa afya njema,
Namshukuru sana Mungu kwa hekima ilikuwa mwaka 2008 mwanzoni nilipoachana na g'friend
wangu ambae kwakweli nilimpenda sana kiasi kwamba najiulizaga...
Mniwie radhi kwa kukosa maneno mazuri ya kubeba ujumbe huo kwa kiswahilini Sanifu.naamini ujumbe unaeleweka kwa wadau.
Katika mahusiano yoyote ya ndoa au urafiki wa kawaida kunakuwa na mmoja...
Yamenikuta leo jumapili!
Leo siku ya wapendanao nasoma gazeti langu la JF sitting room.nimeona msichana wa kazi anajongea akionyesha anajambo anataka kunialifu.nikampa nafasi aongee kaniambia...
Kwa kifupi nilikuwa na mpenzi wangu na kilikuwa mwaka wa mwisho kumaliza,tangu tuanze uhusiano ilikuwa kama miezi 8 amalize.
Sasa kosa nililofanya ni kumsubiria amalize Sshule niwe nae, laaahaula...
Mambo yanabadilika sana zamani kijana wa kiume alihakikisha anawajengea wazazi wake nyumba nzuri ya kuishi na majukumu ya kujenga yalikuwa chini ya mtoto wa kiume .
Ilikuwa nadra binti kujenga...
KAMA HAISAIDII INAUMIZA
Hakuna katikati kwenye hilo, ni iwe inasaidia au la inaumiza.Kama kazi unayofanya haiwasaidii watu basi inawaumiza, na kwa kufanya kazi ya aina hiyo, huwezi kupata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.