vinneboy
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 478
- 436
Usiyasikie mapenzi ukadhani ni kitu cha mchezo, saa nyingine watu hujiua kwa ajili ya mapenzi, wengine hupoteza kazi na hata ramani ya maisha, hivyo usisikie mapenzi ukayachukulia kitu rahisi.
Ukisikia mtu kaoa muheshimu sana, pia wewe mwanamke ulie ndani ya ndoa muheshimu mumeo na mume ndani ya ndoa muheshimu sana mkeo, maana shida na matatizo yako anayajua yeye, huyo wa pembeni akuna anachokijua.
Usiruhusu tamaa ikatawala na kuharibu ndoa yenu au mahusiono yenu
Asanteni.