Ni vyema ukafanya haya katika maisha yako ya kila siku

Galacha Maestro

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
1,353
2,220
NI VEMA UKAFANYA HAYA KWENYE MAISHA MAISHA YAKO YA KILA SIKU

1. Usimwamini 100% mtu uliyemjua ukubwani.

2. Anayejidai anakupenda sana chunguza kwanini.

3. Anayekuletea habari kila siku mara fulani kasema hivi fulani kasema hivi fikiria yeye alisema nini kwanza.

4. Usitegemee kuna mtu atatunza siri yako ambayo wewe binafsi umeshindwa kuitunza.

5. Mwombe sana Mungu wako akupe macho ya rohoni ili uwajue wema na wabaya wako.

6. Tambua Mungu ndio anaweza kukuonyesha adui zako so kuwa mcha Mungu upate jicho la ziada.

7. Wakati una shinda utamjua anaayekupenda kwa dhati.

8. Hakuna anyefurahia mafanikio yako kwa dhati zaidi ya wazazi wako.

9. Aliyekufanya ufike hapo ulipo usimsahau bali mthamini sana.

10. Wapende watu kwa matendo sio maneno.
 
Back
Top Bottom