Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mimi ni msichana, Nina miaka 27, mkristo(RC), Nimeajiriwa Nina umbo la wastani,rangi(maji ya kunde) Makazi yangu ni Dar es Salaam Elimu- Diploma ya Finance Nina mtoto mmoja Sifa: Awe na...
4 Reactions
49 Replies
7K Views
Tunaweza kusema ni maisha ya picha yaani maisha ambayo hayana uhalisia wowote.Kukua kwa tasnia ya habari na mawasiliano hususani kwenye upande wa mitandao ya kijamii kimesababisha kubadili mfumo...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Za weekend wana MMU. Kifupi nina mpenzi wangu ambae nampenda sana yey anasoma chuo Moshi. Kama wiki moja iliyopita alirudi Dar ghafla hata bila ya kuniambia, baada ya siku tatu ndo akaniambia...
0 Reactions
41 Replies
5K Views
Nawasalimia sana wana JF wote. Upendo na Amani ndio furaha yetu sote. Udugu wa wanadamu wote udumu. Ikifika mahali tukaelewa itabidi tukubali kutofauriana katika mambo fulani fulani. Leo nipo...
3 Reactions
2 Replies
4K Views
Wanasayansi nchini Brazil wamefanya utafiti ili kubaini ni mtindo upi katika ufanyaji tendo la ndoa ulio hatari zaidi kwa mwanaume. Kwa mujibu wa utafiti huo, mtindo ambao mwanamke anakuwa juu ya...
5 Reactions
200 Replies
73K Views
Assume umerudi job umechoka na mihangahiko ya town ile umekaa tu sitting room ghafla anakuja mkeo au mpenzi wako anakusogelea karibu na Sikio kwa Sauti ya chini anakuuliza "umesikia lililo mkuta...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Habari msomaji wa uzi huu. Hii stori si yangu nimeona vyema nishare nanyi kwa kuwa JF ni jukwaa kubwa lenye watu wanaoweza kushauri. Stori... Habari ndg. Mimi ni kijana wa umri wa miaka 26...
0 Reactions
67 Replies
7K Views
Wadau, nawasalimu Kuna huyu binti mzuri wa haja, baada ya ukaribu wa muda flan nikamuomba awe wangu, akakubali lakini akadai ana sharti moja, kwamba ana mchumba wake wa siku nyingi, huyu bwana ni...
5 Reactions
76 Replies
8K Views
Hii imetokea huko Moscow Urusi,wakati maharusi wakitoka kanisani na kuelekea kwenye tafrija.Bibi harusi aliamua kuchomoka na kuzua mabishano na bwana harusi,na baadae bibi harusi kutokomea akiwa...
1 Reactions
19 Replies
6K Views
Habari zenu ndugu. Mm ni kijana wa miaka 22 bado nasoma chuo kimoja hapa nchini. Mwaka huu mwezi wa 2 mpenzi wangu aliniambia amepata ujauzito baada kukutana nae kimwil mwaka jana mwez wa 12...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari zenu, Mimi ni kijana nina umri wa miaka 30 ni mara yangu ya kwanza kuleta uzi humu kawa JF.Nahitaji ushauri wenu ili niweze kuishi kwa amani na nafsi yangu maana nateseka sana. Tangu...
1 Reactions
62 Replies
8K Views
Kwa wapenzi hususani wanaoingia katika tasnia hii pasipo kufikiri kwa makini ni muhimu wajue haya. Tamaa siyo Upendo Kujidai unampenda mtu eti kwa sababu ni mzuri wa sura ama kwa sababu kavaa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wanasema hakuna aijuaye kesho na wanaume tunapigana kutafuta mali sio kwa ajili yetu bali watoto wetu wakati mwingine unatafuta kwa nguvu zote ukijua kesho hutakuwa juu ya uso wa dunia hii hivyo...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
"My OUTLOOKs" * * * * * * * * "05/FEBR/2016" NA MIKONO YAKE MWENYEWE. WADADA BAADHI YENU HAMNA SHUKRANI * Tatizo kubwa la dada zetu si kwamba ni wajinga sana ama wanashndwa kujitambua...
13 Reactions
44 Replies
6K Views
Igwe wadau, Huu uzi uwaendee dada zangu wote wanaoitaji ndoa alafu waoga kufunuliwa kwanza.Kwanza wajue wanaume huoa kwa vigezo vingi vitu kama tabia na sura ni out put ila Kuna in put ambayo...
5 Reactions
144 Replies
14K Views
Kwanza, najituma sio tegemezi na ombaomba sababu naelewa umuhimu wakujitafutia na kuwajibika kama binadamu wanavyopaswa. Pili, wanaheshma kwa wanaume kama walivyo na heshma kwenye taaluma zao...
6 Reactions
71 Replies
8K Views
Mwanamke mtu mzima mwenye maambukizi ya virusi vya UKIMWI namuhitaji ili tuishi maisha ya matumaini napenda awe mtu mzima kwakuwa mimi pia ni mtu mzima naomba tuwasiliane kwa 0658 511 714...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kautafiti yakinifu nilichofanya ni kwamba wenye pesa pia ndo wanaongozwa kwa kugongewa wake zao. Ila sijajua nini hasa kinapelekea wanawake watoe nje ukiwa maskini utagongewa na mwenye nazo ukiwa...
0 Reactions
83 Replies
9K Views
Wanajamvi, salaam; Kweli binadamu tumeumbwa tofauti, kuna vitu mimi binafsi huwa sivielewi kabisa! Kuna dereva mmoja wa daladala kaja hapa kashuka kwenye gari kisha akamkabidhi funguo deiwaka...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
NO RETREAT NO SURRENDER Mtu pekee ambaye tayari ameshashindwa ni yule ambaye ameshakufa, maana huyu hana njia yoyote anayoweza kutumia kuondoka kwenye kushindwa kwake. Ila kwa wewe ambaye tayari...
4 Reactions
15 Replies
5K Views
Back
Top Bottom