Prosper C Manasse
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 635
- 690
"My OUTLOOKs"
* * * * * * * *
"05/FEBR/2016"
NA MIKONO YAKE MWENYEWE.
WADADA BAADHI YENU HAMNA SHUKRANI
* Tatizo kubwa la dada zetu si kwamba ni wajinga sana ama wanashndwa kujitambua, bali ni watu ambao mara nyingi wanashindwa kutofautisha kati ya haki (right) na upendeleo (priority)
*Shida yao kubwa ni kushindwa kucheza na hisia za wanaume kwa majira na mahala fulani, wao wanaamini hisia za kila mwanaume zinaweza kugalagazwa majira yote ya mwaka na mahala popote wapendapo wao.
*Kabla sijagusa point husika, ningependa dada zangu mjue kutofautisha wanaume kwa akili zao na si kwa nafasi zao kiuchumi, kijamii ama kuwachukulia wote sawa eti kisa wanavaa suruali.
*Na kiri kuwa, wale wanaume ambao wanajitoa vizuri tena kwa moyo hasa kwa wake au mademu zao mara nyingi ndio wanaodharaulika lakn wale wasojali mahusiano/ndoa ndio huheshimika sana kuliko wanaojali.
Mwanamke unajitahidi kumpa kadiri uwezavyo lakn anakuona fala mmoja tu hajui kwmb kuna wengne wanahitaji hiyo chance lakn wanaikosa.
Twende kwenye mada;
Ujinga wenu uko hapa.
1. Mdada anakubipu, kukutext, kukupigia ama unampigia simu kumsalimia japo nia yako ni kumtaka penzi ama just urafiki tu. Baada ya maongezi anakupga kirungu cha eidha vocha ama pesa.
* Kwa nafasi yako unamtumia eidha kwa hisia za kimapenzi ama just a friend, lakini cha kushangaza anakaa kimya bila hata kutoa mrejesho kwamba amepata au lah.
* Tatizo hili lipo hata kwa baadhi ya watu bila kujali jinsia zao lakn kwa dada zetu ni tatzo sugu limewaganda kama nkurunzinza.
Baada ya saa1 unampigia kumuliza "umepata?" Anakwambia ngoja niangalie then anaweza akujibu au asikujibu.
*Baada ya kutatuliwa shida yake hutoona text wala nini sijui mpaka siku anashida tena ndo akutafute. This means hajali msaada wako na amekuona fala tu.
Hivi kweli dada yangu, unashndwa kujali hata kiunafiki kupiga simu na kusema, "asante nimepata nashukuru Mungu akujaalie". Kweli ujinga umewakaa kichwani dada zangu, ndo maana mnaishia kumegwa na kuachwa coz hata kama mtu alikuwa na nia njema anajisepea taratiiibu kwa kukuona hufai tena huna maana. Jifunzeni kushukuru wadada ili Mungu awabariki ninyi na njia zenu.
2. Umeonyesha hisia.
*Mwingne umemwonyesha hisia kwamba unampenda, basi anataka akufanye kama shirika la msaada kwa wakimbizi (UNHCR) wakati daily nikieleza hisia zangu kwako unanambia "mi nina jamaa yangu".
Cha kushangaza mizigo yote mikubwa kama viwalo, pafyumu na ile midogo kama vocha wanitupia mimi halafu kunipa mambo yetu hutaki.
Nauliza.
> Kama unamshkaji wako why asikutimizie mahitaji yako?
> Kama hutaki kunipa mambo yetu, kwanin unataka nikusaidie?.
> Je mimi kukusaidia wewe ni haki yako au umbendeleo wangu tu?.
> Je we kidume hivi ukiacha kuwa king'ang'anizi utachezewa hisia zako kwa kuchunwa majira yote ya mwaka ka buzi au ng'ombe la machinjioni?
Mimi naamini hivi;
* Kila mmoja wetu ameshawahi kufanya ama kufanyiwa jambo hili na akaona jinsi anavyochezewa ama kuchezea hisia za muhusika.
* Nakumbuka miaka ya 2006-2008 pindi naishi Kinondoni Mkwajuni nilikuwa na msichana mmoja maeneo alikuwa na vitu vingi ambavyo wanaume tunahitaji. Nilimtunga jina kikosi cha mizinga (kikosi) coz kila akiniona ama akinibip ama text zake yani lazma anipige mzinga. Japo tulikuwa wapenzi lakini alikuwa ananikosesha raha.
Kwa kifupi nilimpenda huyu dada kama mvua kwa majira yake lakini akitokea wakati simuhitaji nilikuwa nahisi kichefuchefu.
Ombi langu kwenu.
1.WADADA.
> Kama humtaki mtu basi achana naye, usile vitu vyake tena hasa kwa wale wanaokiri kwamba wapo kwenye mahusiano. Hivyo vitu ipo siku vitakutokea puani kama si kwa huyu basi kwa yule.
2. WAKAKA.
> Acheni kuwa ving'ang'anizi wanawake wapo wengi sana tena wazuri. Acha kuwa mjinga bro wangu, maisha yakuumize, hisia zako mwenyewe zikutese hivi ushawahi kujiuliza we ni fala kiasi gani?.
Hitimisho.
A). Thamini sana mchango wa mtu hata kama ni mdogo kwako na upo ndani ya uwezo wako.
B ). Penda sana kutoa mrejesho pindi unapopokea chochete kutoka upande mwingine bila kujali ni nani kwako.
C). Usipende kucheza na hisia za watu kuna watu wameumbwa kulipa kisasi, 1day utajuta eidha kwangu au kwa mwingine.
D). Wadada msipende sana kuwa watu wa mizinga/virungu(ombaomba) mkajishushia thamani ya ubinti wenu.
Nb: Mtumwa wa hisia ni yeyote yule alotelekeza utashi wake kwa akili