Open your eyes dada, usitarajie ndoa huku unaogopa kutoa penzi kwanza

REJESHO HURU

JF-Expert Member
Mar 6, 2014
4,611
9,811
Igwe wadau,

Huu uzi uwaendee dada zangu wote wanaoitaji ndoa alafu waoga kufunuliwa kwanza.Kwanza wajue wanaume huoa kwa vigezo vingi vitu kama tabia na sura ni out put ila Kuna in put ambayo mwanaume anayejua wanawake hawezi kumuoa binti bila kujua in put ya mwanamke.

Napozungumzia in put naimanisha umbo la uke la mwanamke na kujishugulisha Kwake katika tendo la ndoa.Kwani hata nyie dada mpo na maumbo kama mnavyosemaga wanaume sijui kibamia sijui anawahi kufika so hata
nyie hivyo hivyo kwahiyo acha mwanaume atende tendo na wewe ajirizishe kwani nyie zipo kubwa ndogo kavu zenye maji zisizo na hisia yani unapiga tu hata kustuka mtu wapi pia mpo wenye hisia yani unaweza sema huyu sasa hivi anakufa jinsi mnavyonogewa.

Sasa acha jamaa akuone umuone ikiwezekana muulizane vipi nakufaa au niongeze kipi au nipunguze kipi ili muende sawa msioneane aibu.Kwani kuna baazi ya wachumba kituko yani wanamipaka katika mambo ya faragha unakuta mmoja anapenda kukiss mwenzie ataki au mwenzie anataka mtindo fulani mmoja ataki.Sasa swali uyo ndio mumeo mtarajiwa sasa usipompa naye umejua anapenda unataka nini zaidi ya kuachwa na aende tafuta amtimiziae mambo yake.
 
Sharti mjue kama mpo compatible linapokuja suala la sex, ni muhimu sana ila sasa... vijana wanaitumia kama kisingizio cha kuonja onja
 
hivi BABA Mungu aliposema hatutakiwi kusex kabla ya ndoa hakujua kama kuna hyo mambo ya saize?

Ukikesha kumuomba Mungu na kuishi kwa utimilifu kamwe mungu hatokupa bwawa wala saizi kubwa...


mkuu usitumie sababbu za kitoto kujustfy ngono zembe...

hivi ukiishi kwa kutest mfano umesex na watano alafu wotre ni mabwawaaa utaachana nao paka upate mnato?

hivi kama sio sisi wnaume kuwachezea chezea mabwawa yangetoka wap?
 
kuonja kuna faida na hasara pia...faida kwa muonjaji hasara kwa muonjwa...sasa ukikuta ana lambo c utamuacha na mwingine tena atamuacha eee....mtawazesha dada zetu....hata hivyo mchagua jembe c mkulima...na mchagua k.m sio muoaji
 
haya mambo ya sex baada ya ndoa yalikuwa zamani sababu wanawake naa waume walikuzwa ktk maadili mazuri, ila siku hizi lazima uonjwe na kushika mimba ndio uolewa maana wasichana wa siku hizi kwa kutoa mimba ni shiiiiiida
 
hivi BABA Mungu aliposema hatutakiwi kusex kabla ya ndoa hakujua kama kuna hyo mambo ya saize?

Ukikesha kumuomba Mungu na kuishi kwa utimilifu kamwe mungu hatokupa bwawa wala saizi kubwa...


mkuu usitumie sababbu za kitoto kujustfy ngono zembe...

hivi ukiishi kwa kutest mfano umesex na watano alafu wotre ni mabwawaaa utaachana nao paka upate mnato?

hivi kama sio sisi wnaume kuwachezea chezea mabwawa yangetoka wap?
Mwambieeeeee huyooooo……
Hiyo shake before use ni mbaya saana wewee dada unayekubali kushekiwa utajikuta unagawa kwa wengi kama pipi……
Bora ujitunze ukishika amri za Mungu hawezi kukuacha ukose mume upooo weweee mdada
Kiache hata kikipata kutu lakin kwa Mungu unahesabiwa haki
Usifanye jambo eti kisa kumridhisha mwanaume
Mwenye sikio na asikieeee
 
Mmh huku wengine wadai wanachezewa huku wengine wanasema waonjane kjamani mbona dunia ngumu hii
 
nikweli kaBisa,, coz wengi huoneana haya na kuzani wataonekana Malaya kwa wenzi wao na kuJikuta MMoJa wapo anahaMua kula kona kiMya kiMya,,
"" Mficha uchi hazai"
viJana tutafakari vizuri hu useMi,,!
 
Back
Top Bottom