Penda usipende wenye pesa pia wanagongewa wake zao kuliko maskini

adden

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
7,033
15,637
Kautafiti yakinifu nilichofanya ni kwamba wenye pesa pia ndo wanaongozwa kwa kugongewa wake zao.

Ila sijajua nini hasa kinapelekea wanawake watoe nje ukiwa maskini utagongewa na mwenye nazo ukiwa tajiri utagongewa na matajiri wenzio au shamba boy wako.

Aisee wadau embu tuchambue hii kitu.
 
Hiyo ipo sana tu mfano afisa fulani wa TRA alikuwa na mke sasa kuna jamaa mleta mkaa pale home mbona alikuwa anapiga miti sana.
 
Wenye pesa tatizo lao hawana muda kukaa na wake zao, muda wote wanafukuzia noti. sasa mwanamke atafanyeje akizidiwa? Mwanaume mara ameenda kuchukua mzigo China, Mara Zanzibar kurudi wiki au wiki mbili. Hata akiwepo nyumbani anashinda dukani kurudi saa nne, na saa kumi alfajiri ameshaondoka
 
utafiti wangu unaonesha kuwa mwanamke haridhikitu na pesa...bado atahitaji muda wako na mapenzi umpatie aridhike......so watu hujisahau eti nakupa kila kitu...kwamba ana kila kitu ndai tv..chakula af unaingia saa sita usiku unatoka saa kumi alfajiri monday to sunday..acha safari hapo...na ukimgusa ni juujuu tu..wapo wanaovumilia wenye hofu ya Mungu ila wengine huzidiwa na kukucheat
 
Binadamu ni kiumbe wa ajabu sana ukimpa pesa atasema mapenzi sipati ukimpa mapenzi anataka pesa na kuna wengine hata uwape vyote still haridhiki,niwachache sana wanaosema navumilia mungu atanipa chenye kheir na mimi...wengi wanaishia kuchukuliwa na Shamba boy ,driver wao najiuliza why mpaka ifikie hapo jibu utasikia hana mda na mimi mara sijui yeye mbona ame cheat why not me? ilimradi tuombe stara lakini inatisha....
 
Kinachokufanya ugonge au kugongewa ni ile hali ya kutoridhika na ulie nae, na kuona kila unayemouna labda atakuwa mtamu zaidi ya yule ulie nae...
 
Hii yote hutokana na wanawake kulambalamba radha tofauti kabla ya ndoa. Mtu kama alizoea mboga saba siku ukianza kulisha mboga moja lazma akishakula hyo moja atatoroka ili baadae akale hata mishkaki.

Mkuu ww angalia maisha usihangaike na mtoto wa mkubwa mwenzio hawa wanawake pasua kichwa kweli, utampa pesa atasema unamwacha peke yake amekuwa mpweke, utaamua kushinda naye nyumban na utaamua kwenda naye sokon atasema unambana unamchunga mara huendi kutafuta pesa unashinda nyumban, utampa kila kitu pesa,utakuwa naye karibu atakwambia humridhishi, utamnunulia kila kitu hata gari lakn bado atakuundia zengwe.

Kwahyo vijana wenzangu acheni kuhangaika na wanawake,acheni kuhangaika na mtoto wa mwenzio mliyekutana ukbwani hangaika kutafuta pesa, itakufanya uheshimike kwandugu zako,kwa watoto wako,kwajamii inayokuzunguka, kwandg jamaa na marafiki, hata marafiki wa mkeo watakuheshimu, hata wakwe zako watakuheshimu, hata yeye mnkeo atajilaumu kuachana na ww. Lakn ukijikita kumridhisha mkeo pesa huna utadharaurika na hata mbwa, pamoja na juhudi yote ya kumkojolesha na kumfikisha lakn mkimaliza teno ulaji na pesa hamna atakudharau tu.
 
Umeongea kiundani sana.
 
Kumbuka-MKE WA MTU SUMU
haijalishi ametaka yeye au we ndo umemtaka...!
 
Binadamu ni mnyama kama wanyama wengine japo kupitia elimu,dini,na mafundisho na sheria na kanuni ndani ya jamii yake yanamfanya atofautiane na wanyama wengine kama nyani,mbwa,simba,punda n.k.Amini nakuambia binadamu yeyote yule kuna wakati anarudi katika hali yake ya kuwa na tabia unyama.
 
Back
Top Bottom