Bibi harusi amkimbia mumewe wakielekea ukumbini

barafu

JF-Expert Member
Apr 28, 2013
6,739
32,866

Hii imetokea huko Moscow Urusi,wakati maharusi wakitoka kanisani na kuelekea kwenye tafrija.Bibi harusi aliamua kuchomoka na kuzua mabishano na bwana harusi,na baadae bibi harusi kutokomea akiwa na shera lake mahali kusikojulikana

She screams complaints about the photographer being an hour late to the wedding and about him suggesting to make pics on an iPhone until he shows up, calls him an idiot. F*cking photographers, they are always at fault!
 
Duh...jamaa kweli kaoa bomu! I feel sorry for the guy..
 
Mimi nkajua hapa ukwereni kumbe mambele huko ambako watu wanajitafutia masifa ya kila dizaini
 
Very nice! Na hii ndiyo inaonyesha tofauti kati yetu waswahili na wazungu...Ukioa mke mzungu ukimuuzi hafichi anakuchana live kwamba Mpenzi umeniudhi sana leo kwa ajili ya 1,2,3 na kama nikuachana anakuambia tu chukua timeyako na mimi nachukua zangu.na kama nimsamaha anakusamehe hapo hapo very nice...Mmmh kazi ipo kwetu hapa Bongo wife umemudhi na kitu ambacho hata we hujui..Unarud hme mtu kanuna hadi anakutisha sasa jifanye unaleta za kizungu eti mpenzi wangu ni nini tena leo, utarushwa huo mkono uliokuwa unataka umshike begani usipokaa vizur unajikuta umetokea dirishan....
 
Au huyo mwanamke alifunga nae ndoa wakati anamimba kwasababu wanawake wenye mimba mara nyingi wanakuwa wasumbufu sana.
Unakuta walianzia kwenye story tu mara hapo hapo ugonvi unakuwa mkubwa. Hapo. Ukienda kwa wazee. Wanakuambia msamehe tu huyo ni mgonjwa.
 
Mwezenu ndo kashakuwa maarufu hapo.....mana wazungu wanapenda umaarufu.
 
Very nice! Na hii ndiyo inaonyesha tofauti kati yetu waswahili na wazungu...Ukioa mke mzungu ukimuuzi hafichi anakuchana live kwamba Mpenzi umeniudhi sana leo kwa ajili ya 1,2,3 na kama nikuachana anakuambia tu chukua timeyako na mimi nachukua zangu.na kama nimsamaha anakusamehe hapo hapo very nice...Mmmh kazi ipo kwetu hapa Bongo wife umemudhi na kitu ambacho hata we hujui..Unarud hme mtu kanuna hadi anakutisha sasa jifanye unaleta za kizungu eti mpenzi wangu ni nini tena leo, utarushwa huo mkono uliokuwa unataka umshike begani usipokaa vizur unajikuta umetokea dirishan....
hahahahahaha
 
Uku ndoa zilivyo adimu unaanzaje kukimbia......
hahahahaa!!Watu wanashinda kwa sangoma wanatafuta ndumba ili waolewe,alafu eti akimbie,thubutuuuu.Mbaya zaidi eti wameshafunga ndoa wakati wa kwenda ukumbini ndo anakimbia wakati huku bongo muda huo bi.Arusi anatiririsha michozi anaona anacheleweshwa honeymoon.
 
Sasa namshsngaa huyu bi harus, kama alikuwa hatak kuolewa mbona alikubali kufunga ndoa?
Nahisi labda wakielekea ukumbin mume alitumiwa msg ya mapenz na mwanamke mwingne ndiyo maana bi harus kawa mkali hivyo.
 
hahahahaa!!Watu wanashinda kwa sangoma wanatafuta ndumba ili waolewe,alafu eti akimbie,thubutuuuu.Mbaya zaidi eti wameshafunga ndoa wakati wa kwenda ukumbini ndo anakimbia wakati huku bongo muda huo bi.Arusi anatiririsha michozi anaona anacheleweshwa honeymoon.
Kucheza kwaito kwa kwenda mbele........
 
Kama alikua kashatoka kanisan sio mbaya cz tayr ndoa ishafungwa
Unafurahia mwenzio kaoa chizi?
Ataenda kuishije nalo? Harusi ya kweli ni walking to the altar. Hiyo moment is priceless, haijalishi umepaka makeup, umevaa nguo ya kitenge wala sandals. Seuze mpiga picha?
 
Back
Top Bottom