mr iko press
Member
- Jan 3, 2015
- 56
- 3
Habari zenu ndugu.
Mm ni kijana wa miaka 22 bado nasoma chuo kimoja hapa nchini.
Mwaka huu mwezi wa 2 mpenzi wangu aliniambia amepata ujauzito baada kukutana nae kimwil mwaka jana mwez wa 12,,, lakin shida inakuja baada ya kuwaambia ndugu zangu kuhusu suala hilo ambapo mgawanyiko ulitokea baada ya kaka zangu wao kukubali kuwa nijiandae kumlea mtoto.
Lakin dada zangu wao walikataa wakidai kuwa nimkatae huyo mpenzi bila kutoa sababu za mcngi na kama nitaikubali nicwajue na ukifikiria wao ndo walinisomesha kuanzia form one had saiv nipo chuo,, ningekuwa na mama ingekuwa rahisi zaidi. Na mpenzi wangu tumekaa zaid ya miaka 4. Sasa nafikiria nifanye nini ili niweze kulea hyo mimba na niweze kuelewana na DADA zangu? Mzee na kaka zangu hawana shida,, tatzo lipo kwa dada zangu.
Msaada wa mawazo ni muhimu sana kwangu.