R Mbuna
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 2,283
- 5,359
Habari zenu,
Mimi ni kijana nina umri wa miaka 30 ni mara yangu ya kwanza kuleta uzi humu kawa JF.Nahitaji ushauri wenu ili niweze kuishi kwa amani na nafsi yangu maana nateseka sana.
Tangu nifunge na mke wangu sasa imeshapita miaka minne na tumebahatika kupata mtoto mmoja wa kike.Issue ipo hivi kabla hatujapata mtoto tulikuwa tunasex karibu kila siku itwayo leo lakini tangu mke wangu ajifungue ameshindwa kuendelea na ile kasi maana sasa hivi tukisex leo tena goli moja tu hawezi kuendelea mpaka week ijayo.
Anadai anachoka sana siku hizi sasa ananipa wakati mgumu mpaka wakati mwingine naamua kupiga puchu ila naona kama naumia kuchepuka naogopa nisije nikaisambaratisha familia yangu.
Ngugu zangu ipi ni njia sahihi ya kutatua hili tatizo maana mwanzo nilishazoea kila siku goli mbili ndio tunalala lakini siku hzi week nzima tena goli moja tu.
Ushauri wenu utanisaidia sana kutatua hili tatizo.