TAMAA SIYO UPENDO

Nov 8, 2013
33
28
Kwa wapenzi hususani wanaoingia katika tasnia hii pasipo kufikiri kwa makini ni muhimu wajue haya.
  1. Tamaa siyo Upendo
Kujidai unampenda mtu eti kwa sababu ni mzuri wa sura ama kwa sababu kavaa vizuri ama anaongea vizuri, ama anatembea vizuri n.k ni tamaa na siyo upendo. Mtu lazima upende bila vigezo maana upendo wa kweli hauna vigezo. Ni kwa sababu ya kuweka vigezo, leo mtu anampenda mchumba eti kwa sababu ana mguu mnene , matokeo yake inapotokea mguu umekuwa mwembamba upendo unatoweka. Huu siyo upendo bali ni Tamaa. Mwanaume ampende mkewe kutoka ndani ya moyo wake bila vigezo. Kadhali Binti ampende mpenzi au mchumba au mume wake bila ya vigezo. Kwa kufanya hivyo wote wawili watafurahia mepenzi na upendo wao. Tofauti na hivyo ni majungu na ugomvi kila kukicha.

.................inaendelea
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom