Maisha ya Instagram

Maisha ya Instagram

NEW NOEL

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2011
Posts
863
Reaction score
409
Tunaweza kusema ni maisha ya picha yaani maisha ambayo hayana uhalisia wowote.Kukua kwa tasnia ya habari na mawasiliano hususani kwenye upande wa mitandao ya kijamii kimesababisha kubadili mfumo wetu wa maisha aidha kwa kurahisisha upatikanaji habari au kwa kusababisha mfumo wetu wa maisha kubadilika na kutawaliwa na 'sanaa' zaidi.

Leo hii watu wanatumia mtandao kama Instagram kutengeneza mfumo wa maisha wa 'uongo' kabisa hali inayopelekea vijana wengine hususani ambao ni teenagers kuathirika kisaikolojia au kuvutiwa na mfumo huo wa maisha.
 
Attachments

  • 1455922004186.jpg
    1455922004186.jpg
    91.3 KB · Views: 62
Hiyo nembo ya intex wanatengeneza na vifaa vya electronics... sijui kalitoa stoo hilo godoro...
 
Inakuwaje mtu analalamika kuhusu Gram au FB wakati ana uwezo wa kuchagua watu anao-interact nao? Chochote unachokiona, ndio umechagua kukiona.
 
araf madem wa insta wote wazuri dah ka mademu wa harusini
usiombe ukutane nao live utamkimbia
 
Picha ni muhimu wengine tusingehangaika kufikir insta ndo nn?ahaaa
 
Tunaweza kusema ni maisha ya picha yaani maisha ambayo hayana uhalisia wowote.Kukua kwa tasnia ya habari na mawasiliano hususani kwenye upande wa mitandao ya kijamii kimesababisha kubadili mfumo wetu wa maisha aidha kwa kurahisisha upatikanaji habari au kwa kusababisha mfumo wetu wa maisha kubadilika na kutawaliwa na 'sanaa' zaidi.

Leo hii watu wanatumia mtandao kama Instagram kutengeneza mfumo wa maisha wa 'uongo' kabisa hali inayopelekea vijana wengine hususani ambao ni teenagers kuathirika kisaikolojia au kuvutiwa na mfumo huo wa maisha.
ishukuriwe hii mitandao maana ninanufaika bayo mnooooo...........siki mbili huzi nimepata madem wawili facebook na wote nitawagegeda soon maana nshakutana nao wote na kweli ni wazuri,,,,,,thank u facebook
 
Na usisahau kinga mkuu UWAFANYE VIZURI.
 
Back
Top Bottom