solanki riyan
Member
- Feb 9, 2016
- 14
- 9
Wadau, nawasalimu
Kuna huyu binti mzuri wa haja, baada ya ukaribu wa muda flan nikamuomba awe wangu, akakubali lakini akadai ana sharti moja, kwamba ana mchumba wake wa siku nyingi, huyu bwana ni mfanyakazi kwenye NGO, ila kwa sasa (wakati huo) yupo uingereza akifanya masters yake, wamepanga kuona atakaporudi
Kwa hali hiyo niwe nae nikilifahamu hilo, nising'ang'anie, nikakubali arrangement hiyo huku nikitafuta binti mwingine alie tayari kwa commitment, kwa kweli tulifanya vingi pamoja, tukawa tukienda Zanzibar kila ijumaa jioni na kurudi sunday, nilikua na tender flan huko kila weekend, kwa kweli ali enjoy sana, tulikua tukifikia hotel, hata hivyo mara kwa mara alinikumbusha kuhusu mtu wake na pia waliongea sana kwa simu
Hapo katikati nikapata msichana wangu, sikumwambia yule mwingine, huyu mpya akanipeleka kwao nikawafahamu wazazi na ndugu, na tunaenda vizuri, tumejipa mwaka mmoja zaidi ili tufunge ndoa, na honestly, nilikua nimepanga hivi karibuni nimwambie yule mwingine mm basi aendelee tu na mwingereza wake, ghafla nashangaa amekuja kwa kasi sina hili wala lile nastukia kanipeleka kwao,tukiwa kwao mama yake akamwambia kwa kilugha huyu uliemleta asije akawa kama flan kaenda UK karudi kafunga ndoa na mwingine, nikajifanya sielewi chochote,
Tulipoondoka njiani binti ananiambia "nimeamua kuku surprise toa mahari tufunge ndoa sikua na mtu yeyote uingereza wala nn
Sasa hivi yupo resi mno kila siku anauliza nitaanza lini formalities za ndoa
Wadau nimejikuta njia panda kati ya hawa wasichana wawili, yule tuliepatana hivi karibuni ni very matured, ni pharmacist, hapendi fashion anavaa nguo za kanisani wakati wote, kitandani yy analala tu mm ndio nimtawanye miguu, panti ni za kizee kama boxer, huyu mwingine ni sister duu wanguvu, ananukia marashi, bedroom anakata mayenu mwanzo mwisho, ananing'inia kona zote, miguu upside down
Tukitoka room nakua mwepesi mno
Sasa sijui mlikua mnasemaje? Nioe yupi?