magode
JF-Expert Member
- Oct 2, 2014
- 2,204
- 3,337
Wanajamvi, salaam;
Kweli binadamu tumeumbwa tofauti, kuna vitu mimi binafsi huwa sivielewi kabisa! Kuna dereva mmoja wa daladala kaja hapa kashuka kwenye gari kisha akamkabidhi funguo deiwaka.
Kaja hapa ofisini kwangu, akawa anapiga simu, walivyomalizana jamaa akatuma hapa kwangu Tsh.3500/=. Baada ya hapo ndo akaanza kunieleza eti kuna mdada muda huo anataka akajifungie nae guest. Mdada mwenyewe mke wa mtu. Aisee nilijua anatania, kwasababu muda huo ilikuwa saa 3 asubuhi.
Lakini jamaa akanihakikishia anachosema na akadai anaenda kuchukua kabisa room kisha aje hapahapa kumsubiri! Baada ya kama dakika 45 kweli ameshuka mdada hapa na bodaboda akaanza kupiga simu muda mfupi baadae dereva kaja kumchukua.
Kwakweli nimejiuliza sana, hivi hizi tofauti tulizonazo ndo hizi kweli? Yaani mtu anaacha kazi,anaenda kufanya uzinzi na mke wa mtu,anapoteza muda na fedha.
Kuna wakati niliwahi kufanya biashara ya guest huko kigamboni mwaka 2007,mtu anakuja kutafuta chumba cha muda na dem asubuhi saa 2! Jamani hizi genye tu au labda me ndo nipo tofauti na wenzangu? Binafsi hata huo ujasiri wa kuulizia chumba guest asubuhi siwezi kuwa nao na sitakuwa nao.