Emc2
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 16,808
- 16,961
Nawasalimia sana wana JF wote. Upendo na Amani ndio furaha yetu sote. Udugu wa wanadamu wote udumu. Ikifika mahali tukaelewa itabidi tukubali kutofauriana katika mambo fulani fulani.
Leo nipo katika muendelezo wa masomo yetu ya kiroho. Leo nipo katika jambo moja linaloitwa mda (Time). Tafsiri ya Time na maana halisi yake imekuwa ngumu sana kwa wasomi wa kila aina hapa duniani. Wengine wanasema:Time is a measure in which events can be ordered from the past through the present into the future.
Hebu kidogo angalia hii video halafu tuweze kuendelea.
Time imekuwa ni kitu gumzo sana na imekuwa vigumu sana katika utafit wa wanasayansi na watu wengine kwenye fields tofauti tofauti.
Hebu jaribu kupitia kwenye notes hizi za wikipedia
https://en.wikipedia.org/wiki/Time
Chukulia kitu cha kawaida tu je nitukio gani linalokueleza kuwa sasa hivi yaani sasa. Chukulia sasa hivi unachukua kalamu je ni tukio lipi linaloelezea sasa unachukua kalamu. Kwahiyo ukianza kufungua uelewa wako utagundua kuna namna fulani mambo hayako sawa.
Utagundua kuna kitu mahali fulani hapa duniani hakiko sawa na kinatakiwa kurekebishwa. Kwa mfano Leo ni Jumatano lakini kwa upande wa New York bado wapo jumanne. Je mtu amekufa sasa hivi hapa kwa hiyo huko New York atakuwa hajafa. Tarifa zikiwapata watasema alikufa jana.
Nimetoa mfano huo mdogo tu kwaajili ya kupanua uelewa zaidi kuhusu time. Kwa wale waliosoma Physics kunakitu kinaitwa Speed au velocity. Hebu tujaribu kuangalia kitu hiki hapa. Kwa sababu Velocity au Speed ni M/s yaani ni umbali gani utaenda kwa mda wa sekunde fulani.
Kwa mfano watu wawili wametokea kwenye point A mmoja akenda North(N) na mwingine akaenda North-East (NE) wote kwa speed sawa je yupi atakuwa mbali na wewe zaidi?
Japo kuwa wote wameenda kwa speed sawa na time sawa aliyekuwa anaelekea N ataonekana yupo mbali zaidi kuliko aliye elekea NE.
Kwa hiyo time is Illusion. Kuna kitu fulani hakiko sawa. Ndio maana inakuwa vigumu sana ubongo au akili kukumbuka kila tukio linalofanyika. Na kwa mujibu wa reality what you see has already done.
Naomba tuchangie nitaendelea kufunguka zaidi
By Annael

Last edited by a moderator: