No retreat no surrender

No retreat no surrender

Galacha Maestro

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
1,353
Reaction score
2,231
NO RETREAT NO SURRENDER

Mtu pekee ambaye tayari ameshashindwa ni yule ambaye ameshakufa, maana huyu hana njia yoyote anayoweza kutumia kuondoka kwenye kushindwa kwake.
Ila kwa wewe ambaye tayari upo hai, hata kama unapitia magumu kiasi gani, jua ya kwamba bado hujashindwa.

Kwa kupata nafasi ya kuendelea kupumua leo tayari una nafasi nyingine nzuri ya kubadili chochote ambacho hakiendi vizuri kwenye maisha yako.

Kumbuka maisha ni yako na chaguo ni lako. Chagua maisha ya ushindi na mafanikio na hakuna kitakachokuzuia. Chagua maisha ya kushindwa na utakuwa umejizika mwenyewe.
 
umeongea point sana
 
Haijalishi unapata fedha kiasi gani, bali fedha kiasi gani unaweza kuweka akiba, fedha kiasi gani unaweza kuwekeza, na kwa kiasi gani fedha hiyo itakutumikia.
 
Wakati mwingine mbio zinasaidia jamani na tusifikiri kila pambano atashinda daud kuna vita vingine kila ukiingiza mguu unapewa za uso ni ujumbe wa kuhamisisha ila kuna vita na vita.
 
Ujumbe mzuri.
Yaah galacha kwenda kujipanga upya au kuanza moja si ujinga sometimes unafanya kitu kisha results zinakuwa negative so will you hold on it?unakaa pembeni na kutafuta mbinu mbadala all and all usikate tamaa nadhani nimekuelewa hivyo shukran ndugu yangu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom