Naona dalili za kudanganywa waziwazi

geometry

JF-Expert Member
Oct 30, 2014
466
356
Za weekend wana MMU.

Kifupi nina mpenzi wangu ambae nampenda sana yey anasoma chuo Moshi.

Kama wiki moja iliyopita alirudi Dar ghafla hata bila ya kuniambia, baada ya siku tatu ndo akaniambia yupo Dar alikuja akiwa hoi anaumwa .

Ofcoz niliprove kama kweli anaumwa lakini siku jua kwa nin alinificha mpaka alipotoka hospital.

Jana ndio ameniambia ukweli kwamba alikuja kutoa mimba na nilipombana na maswali alidai alibakwa mwez wa 12 lakini alinificha .

Kila nikitafakari affects za msichana baada ya kubakwa haswa kisaikolojia hainingii akilini kabisa, kwani yeye siku zote yupo normal tu.
 
Na wewe unaamini kweli kwamba alibakwa?

Mwanaume mwenzangu ni lazima uwe na akili ya ziada kwa mpenzi au mke wako, muda wote chunguza neno lake moja moja analokwambia, then uwe na uwezo wa kuunganisha "dots" muda wote ili upate picha kamili,.

Narudia, kuishi au kuwa na demu au mke au mpenzi ni lazima uwe na "akili" ya ziada.
 
Very true.
 
Ebu akirudi chuo fanya ziara ya kushtukiza nenda club moja inaitwa Malindi pale Moshi imekuwa ndiyo kituo cha wanafunzi wa Ushirika kufanya maovu...Wanajiuza kwa bei chee mno kama vile wamerukwa na akili...Demu wako anaitwa nani?
 
Za weekend wana MMU.

Kifupi nina mpenzi wangu ambae nampenda sana yey anasoma chuo Moshi.

Kama wiki moja iliyopita alirudi Dar ghafla hata bila ya kuniambia, baada ya siku tatu ndo akaniambia yupo Dar alikuja akiwa hoi anaumwa .

Ofcoz niliprove kama kweli anaumwa lakini siku jua kwa nin alinificha mpaka alipotoka hospital.

Jana ndio ameniambia ukweli kwamba alikuja kutoa mimba na nilipombana na maswali alidai alibakwa mwez wa 12 lakini alinificha .

Kila nikitafakari affects za msichana baada ya kubakwa haswa kisaikolojia hainingii akilini kabisa, kwani yeye siku zote yupo normal tu.
Ukina manyoya ujue kashatafunwa
 
Ebu akirudi chuo fanya ziara ya kushtukiza nenda club moja inaitwa Malindi pale Moshi imekuwa ndiyo kituo cha wanafunzi wa Ushirika kufanya maovu...Wanajiuza kwa bei chee mno kama vile wamerukwa na akili...Demu wako anaitwa nani?
ahaaaaaaa loh ukute na ww ulishampitia? Sasa si bora hasimtaje?
 
mwache mkuu usiwaze mambo ya kijinga achana naye tafuta mwenye hofu ya Mungu
 
Mkuu pole sana ila ushauri wangu ni huu...fanya utafiti kwa gharama yeyote ile ukigundua amekudanganya.ON THE SPOT MWACHEE...TAFUTA MWINGINE.
 
Yaan anakudanganya kirahisi rahisi hvyo? Mm binafsi sitaweza kukupa ushauri wowote nadhan hata nikikupa ushauri utanifikiria kuwa nataka kukuachanisha na mkeo,
 
Hivi kirahisi rahisi tuu mpnz wako anakuambia nimebakwa na ww unaamini ktk Hilo!??....jiongeze bhana,cjui mahusiano yenu ni ya muda gani mpka haoni hata haya kukuambia hivo tena inaoneka aliongea kwa kujiamini sana mbele yako..

Be careful,. Hebu tafuta utakatifu kwanza.
 
Demu akibakwa ww unakaa wann tena?... Mimba haiwezi ingia kama hakukata mauno na kubadili style 3 tofauti
 
Mkuu inaonyesha bado unampenda paka sasa.

cha kufanya hapo angalia jinsi gani atapona. kisha yamalize kimya kimyaaa...

maana ushadanganywa...
 
Za weekend wana MMU.

Kifupi nina mpenzi wangu ambae nampenda sana yey anasoma chuo Moshi.

Kama wiki moja iliyopita alirudi Dar ghafla hata bila ya kuniambia, baada ya siku tatu ndo akaniambia yupo Dar alikuja akiwa hoi anaumwa .

Ofcoz niliprove kama kweli anaumwa lakini siku jua kwa nin alinificha mpaka alipotoka hospital.

Jana ndio ameniambia ukweli kwamba alikuja kutoa mimba na nilipombana na maswali alidai alibakwa mwez wa 12 lakini alinificha .

Kila nikitafakari affects za msichana baada ya kubakwa haswa kisaikolojia hainingii akilini kabisa, kwani yeye siku zote yupo normal tu.
Mkuu nilitoa mada hapa namna mademu wa chuo walivyopasua kichwa.ungesoma na kuelewa michango ya wadau usingekuja hapa unaweweseka hivyo! kaa nao hao watu mbali wakiwa chuo!
 
Back
Top Bottom