Kwanini wengi wa wanawake wanfanya hivyo????? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini wengi wa wanawake wanfanya hivyo?????

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Jethro, Jun 15, 2010.

 1. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #1
  Jun 15, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Wana JF,

  Kuna swala mmoja lasumbua wanaume sana kwanza nililipata kipindi nipo kwenye mahusiano ya GF na kuona kwa marafiki zangu pia.

  Kwanini Mwanamke yeye inakuwa ni vigumu sana ku reply msgs kwa simu au unapompigia simu utakuta simu yake yeye kaiacha mara sebureni au akiwa na wenzake mahari wanakula raha simu inaachwa kwenye pochi hutakuta italiaaa weeee au umetuma msg yeye kuichukua na kuijibu itamchukua muda sana, Unless umkute anashida zake ambazo anajua wewe utamtatulia mapema ndipo utaona response ya haraka na ku beep kwake kwa saaana na kutaka kujua umefikia wapi.

  Ila cha ajabu utamkuata mwaume akipigiwa tu au kutumiwa msg utamwona anajibu faster kweli hata kama yupo anakula au yupo kwa kikao atajitahidi kwa hali na mali atoke japo 2mins akujibu,

  Mara nyingine utakuta mwanamke kakupigia ukachelewa chukuwa utaulizwa kwa ukali UKO WAPIIII!!!!! wakati wewe mwanaume huwezi muuliza kwa ukali hivyo laziam tu utajikuta unaongea lugha laiiiiiniii. alafu ukimuuliza mbona hujibu simu au msg za simu atakuambia simu ilikuwa kwa pochi au ilikuwa mbali au nilikuwa na marafiki zaku twapiga story na ukijaribu muuliza utasikia yaani huniamini

  Je huwa nini tatizo??

  Mawazo yenu wana JF changia
   
 2. C

  Chupaku JF-Expert Member

  #2
  Jun 15, 2010
  Joined: Oct 15, 2008
  Messages: 1,043
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  MMMH. vice versa is also true Mkuu!!
   
 3. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #3
  Jun 15, 2010
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  yaani umenigusa kweli, mie kama jpili kama kuna ndugu/jamaa ananitafuta bac atamcal mr, ckumbukagi mambo ya fone nikiwa na shughuli zangu hasa za nyumbani, nikitoka job nikitupa mkoba pale ndio imetoka hiyo mpaka nije kukumbuka fone ni kwamba nimeshamaliza shughuli zangu sasa naona mr mbona kachelewa ndio nikumbuke fone ilipo, hapo micd calls kibao za mr, na ukweli mie nim2mie sms ipite dk 5 hajaijibu naingia hewani na maswali mfululizo...nilidhani ni mie tu kumbe ni baadhi ya wanawake tuko hivi?...mr kashaongeee weee mpaka kajichokea jamani.
   
 4. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #4
  Jun 15, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,860
  Likes Received: 23,483
  Trophy Points: 280
  halafu mkitafutiwa wasaidizi mnalalamika hatuwapendi. Siyo?
   
 5. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #5
  Jun 15, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Jethro naona upande wa wanawake umeugezia kwa wanaume ..imekuwa vice versa
   
 6. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #6
  Jun 15, 2010
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145

  ...............Hapo nilipotia alama hapo--- tafadhali usiusemee moyo maana sio wanaume wote wenye tabia hii uliyoiongelea hapo. Mie nilikuwa nakatiwa simu ikiita mara mbili sijapokea inakatwa na hata upige utapiga weee hadi switch za Tigo zijam- hapokei na bado akirudi unatoa maelezo kwa nini amepiga simu imeita hukupokea!!

  Kuna siku nilishawahiandika hapa kuwa kuna mtu akitoka kazini lazima awe na summary ya
  1. Nani alimpigia na alimpigia kwa sababu gani
  2. Missed calls - ni za nani na kwa nini hakupokea (Hata kama alibeepiwa au ilikuwa wrong number ni lazima ajue ni nani alimwrongia na kwa nini hakuwrong sehemu nyingine iwe kwake tu??)
  3.
   
 7. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #7
  Jun 15, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,860
  Likes Received: 23,483
  Trophy Points: 280
  3. Kwanini umefuta records za missed/dialled/received calls?
   
 8. Askofu

  Askofu JF-Expert Member

  #8
  Jun 15, 2010
  Joined: Feb 14, 2009
  Messages: 1,668
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 133
  4. Ina maana siku nzima hujapata sms?? Kama ndio, kwa nini?? Kama hapana... zimeenda wapi?
   
 9. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #9
  Jun 15, 2010
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Babu yangu na Askofu mmenifanya nicheke kwa nguvu ofcn mwenzenu. Yaani acheni tu hizi simu saa nyingine tunalaani kwa nini zimetufikia!!
   
 10. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #10
  Jun 15, 2010
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,418
  Likes Received: 81,463
  Trophy Points: 280
  lol! Askofu! Shurti kuwa na kikao kila siku joini kuyajibu maswali ya sms/calls ngapi zimeingia au kwanini hazikuingia na zimetoka kwa nani na mna uhusiano naye gani (kama si ndugu au rafiki) na kama zimeingia kwanini zimefutwa blah blah blah! Hizi simu kazi kweli kweli!!
   
 11. katelero

  katelero JF-Expert Member

  #11
  Jun 15, 2010
  Joined: May 31, 2010
  Messages: 529
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  yaani hata sio wadada tu wenye tabia hizi hata wanaume pia wapo wengi tu wenye tabia kama hizi, mie nadhani sababu kubwa mhusika anakuwa anajua anapendwa sana na ndo maana anajifanyia mambo yake tu kwa jinsi anavyotaka yeye, kama kutopokea simu, kutojibu mesage kwa mda unaotakiwa, na vitu vingine vingi vya kukuonesha kwamba hakujali kiiiiiiiivyo kama unavyomjali yeye
   
 12. Askofu

  Askofu JF-Expert Member

  #12
  Jun 15, 2010
  Joined: Feb 14, 2009
  Messages: 1,668
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 133
  BAK... huwezi amini tunapata kazi kubwa sana ya kusuluhisha mambo madogo mengi kama haya...
   
 13. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #13
  Jun 15, 2010
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0

  heee hiyo ndio sababu ya kumfanya mtu awe na nyumba ndogo? bac kazi ipo kha.
   
 14. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #14
  Jun 15, 2010
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0

  ndoa ngumu eeeh....
   
 15. Askofu

  Askofu JF-Expert Member

  #15
  Jun 15, 2010
  Joined: Feb 14, 2009
  Messages: 1,668
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 133
  Watu ndio wanafanya iwe ngumu kwa sababu wanataka waishi kwa matakwa yao... ubinafsi
   
 16. Mom

  Mom JF-Expert Member

  #16
  Jun 15, 2010
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 708
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mi leo nimesahau cm home sasa cjui nayo ni bse ni mwanamke!
   
 17. Shishi

  Shishi JF-Expert Member

  #17
  Jun 15, 2010
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,244
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135

  Duh.... Askofu hii kali..... tuna kazi kubwa bana eh lakini ndivyo hivyo...necesarry evils these phones have become!!
   
 18. Askofu

  Askofu JF-Expert Member

  #18
  Jun 15, 2010
  Joined: Feb 14, 2009
  Messages: 1,668
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 133
  Kazi kubwa sana... kuweni hodari na moyo wa ushujaa katika maombi... ni hila za shetani tu hizo
   
 19. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #19
  Jun 15, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Teh teh teh teh teh!!!!!

  Umeniacha hoi sana nyamayao, hiyo halii inakuwa ni ngumu sana kwetu sie wanaume unakuta tumeisha lalama mpaka sasa unajiuliza ivi huyu mwanamke hajui umuhimu wa simu yake jamani duuuh,

  Ndio maana unakuta watu wengine wenye watoto huwa inawalazimu kununua simu na kuwa watoto wao unakuta umechelewa kurudi mara mtoto anakupigia dadii uko wapi hujarudi na hii ndio njia nyingine kumshika chini mumeo awahi rudi home

   
 20. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #20
  Jun 15, 2010
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,418
  Likes Received: 81,463
  Trophy Points: 280
  Nakubaliana kabisa na wewe Askofu mambo mengi yanayosababisha maelewano kutokua mazuri ndani ya mahusiano ni madogo mno lakini unaweza kushangaa athari zake zinavyokuwa kubwa. Niliwahi kucheka sana marafiki zangu walipogambana sana kisa sufuria waliyosongea ugali. Hawa wako nje ya nchi na hivyo husaidiana kazi za nyumbani. Sasa mama alikuwa anadai mara ya mwisho walipopika ugali yeye ndiye aliyeosha sufuria na mume akasema hapana niliosha mimi...yaani ugomvi ulikuwa mkubwa mno huwezi kuamini kisa sufuria tu ambayo haichukui hata dakika tatu kuiosha.
   
Loading...