Idadi ya 'Gegedo' (Love making) kwa wanandoa

Kiluuj

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
692
277
MPO?

Je ulijua kwamba, Wanandoa wanaogegedana mara moja au mbili kwa wiki ndio wenye furaha? Na ulijua kuwa, Kugegedana kila siku sio thibitisho la ndoa yenye raha!!

Kugegeda kila siku kunachangia sana mmoja au wote kuwa sexholic/sex-addict!
 
Ina ukweli..Kuna rafiki yangu aliniambia yeye kila siku lazima apige game na wife wake labda mama awe ameenda mwezini ndo huwa anamsubiri naile mama akishuka tu..jamaa yuko nae..Na akasema hata akisahau kupiga cargo wife lazima amuamshe usiku huo apige,Walikuwa ni familia waliofanikiwa kimaisha kwa kiasi kikubwa tu.Balaa ikatokea Mungu akamchukua yule rafiki yangu hakika ndiyo niligundua walishakuwa addicted na ngono..haikupita muda wife wake rafiki angu alianza tabia ambazo si nzuri kabisa...As time goes dah shemeji yangu alikuwa anarukiwa mbaya...
 
Kweli kila kitu kinahitaji kias, in case mmoja wapo anaumwa, au kuna shida mwenzie aweze kumsubir ila kama mmezoea kila siku itakua ngum
 
Msitumie hii nafasi kuficha upungufu wa nguvu za kiume nyieeee. Kiasi kinachotakiwa ni, round moja au mbili si zaidi. Kila siku ikiwezekana. Wapo watu wapo kwa ndoa zao miaka 40+ na kila siku round ni lazima.
Usipo angalia waweza kujificha huku kumbe una katatizo. Maandiko yanasema; Msinyimane, labda kwa ajili tu ya kwenda kuswali. Ukirudi tu, anzia sebuleni kama nafasi hiyo ipo. Alaaaa!
 
una balaaa wewe duuu mkirudi tu kuswali mnaanzia sebuleni kwani ni pombe hiyoo mkuu?
 
Ina ukweli..Kuna rafiki yangu aliniambia yeye kila siku lazima apige game na wife wake labda mama awe ameenda mwezini ndo huwa anamsubiri naile mama akishuka tu..jamaa yuko nae..Na akasema hata akisahau kupiga cargo wife lazima amuamshe usiku huo apige,Walikuwa ni familia waliofanikiwa kimaisha kwa kiasi kikubwa tu.Balaa ikatokea Mungu akamchukua yule rafiki yangu hakika ndiyo niligundua walishakuwa addicted na ngono..haikupita muda wife wake rafiki angu alianza tabia ambazo si nzuri kabisa...As time goes dah shemeji yangu alikuwa anarukiwa mbaya...
Bila Shaka na ww ulimrukia Shem huyo,
 
Msitumie hii nafasi kuficha upungufu wa nguvu za kiume nyieeee. Kiasi kinachotakiwa ni, round moja au mbili si zaidi. Kila siku ikiwezekana. Wapo watu wapo kwa ndoa zao miaka 40+ na kila siku round ni lazima.
Usipo angalia waweza kujificha huku kumbe una katatizo. Maandiko yanasema; Msinyimane, labda kwa ajili tu ya kwenda kuswali. Ukirudi tu, anzia sebuleni kama nafasi hiyo ipo. Alaaaa!
Well said, kwanza unawezaje kulala na Toto zuri wiki nzima hujagegeda?? Lazma utakuwa na upungufu wa nguvu za kiume tuuu!

Me nagegeda daily kwa kweli,
 
udhaifu huo ujanani uzeeni utachapiwa hadi basi. mkinyimwa taabu mkipewa daily mnakimbia! matatizo yakuwa na nguvu zakuvizia kama unachinja kobe hayooo
 
Back
Top Bottom