Wanandoa kufanya mapenzi marachache ni suluhisho la furaha kwenye ndoa

Kiluuj

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
692
277
Mpo wanajamii?

Nimekuja kivingine.

Imebainika kwamba wanandoa kugegedana kila siku sio suluhisho la furaha kwenye ndoa.

Asilimia kubwa ya wanandoa wanaogegedana mara moja au mbili ndio wenye ndoa iliyojaa furaha.

Hili linapunguza hali ya kuwa sexholic(kuwa mlevi wa mapenzi au sex addicted).
 
Inategemea mara chachechache kwa kupeana ipasavyo au kwa kubakwa.... mara nyingi kwa kukomoana?kuchovya?kulazmishwa au kubakwa.
 
Back
Top Bottom