Kwanini kwangu tu mimi, nimekosea wapi?

rutabazi

JF-Expert Member
Aug 16, 2014
494
290
Habari wadau bila shaka mu wazima katika ubora wenu.

Nimekuja humu angalau nipate mwanga naona stress zimenizidi umri wangu.

Nimeshakua kwenye mahusiano na watu chini ya tano kama sikosea kwa umri wangu (17-24) mambo yanayonipata sasa ndo yananipelekea nije kupata mwanga na ushauri humu kwenye hili jukwaa.

Mambo yenye ni kama haya;

- Skendo zinaaza za hapa na pale.

- Kuwa mwanamke malaya sana.

- Mara atakua na ngoma si bure.

- Mara atakua napepo la ngono.

- Wengine ni mapungufu yakibndamu siwezi mkoso Mungu

Kwa ilo la umbaji ni wachache pia nilikua nao (viziwi, kumbuku ndogo, n.k) ni wachache sina.

Tatizo nao kabisa(honestly)

- Tatzo kubwa lipo kwa hao waskendo Lina niumiza limenipeleke kuona ninakanuksi labda maana imenikuta sana.

Nimepumzika kwasasa ni miezi imepita kwakweli.Nimecheck afya iko vizuri lakini nahisi nibahati yangu pia lakini skendo kwa hao niliokuwa nao linarudisha nyuma sana.

Lisemwalo lipo ndo wasiwasi wangu (waswahili) wadau haya mambo yakoje kwenu ni dalili gani huko baadae linaniwazisha sana.

Happy Valentine's day to all!
 
japo nimepata shida saana kukuelewa.

nimekuelewa wewe ni girl.
alafu ulipaswa utaje umri sahihi au atleast range inayoeleweka.

from 17-24 wasichana wenye 17-20 wanauniq characters from wale wenye 21 -24
upo wapi katika hiyo range

skendo siku zote haziji from no where....jiulize kwanini wewe na sio mwengine? probably inatokana na tabia zako kwa ujumla..... watu unaopenda kuwa nao muda wote wanatabia gani...marafik.
dressing yako... unavyo ongea.. hususan na me.. hayo yote ndio husababisha hizo skendo...
labda pia kujionyesha onyesha. within short time umedate na wanaume kadhaa alaf unatabia ya kuweka mambo open..lazima watu walete skendo....

kama umeshatambua una weakness fulan ya kimaumbile au chchote..basi jityune insuch way you overcome that..bila ya kujifeel vibaya au inferiority..

jipange for new relation...usikurupuke. chagua kilicho sahihi
 
Habar wadau bila shaka mu wazima katika ubora wenu

Nimekuja humu angalau nipate
Mwanga naona stress zimenizid
Umri wangu...

Nimeshakua kwenye mahusiano
Na watu chini ya tano km sikosea
Kwa umri wangu (17-24) mambo yanayonipata sasa ndo yananiplekea nije kupata mwanga naushauri humu kwajukwaa
Mambo yenye ni kma haya
-skendo zinaaza za hapa na pale
Kua mwanamke Malaya saana;
Mara atakua na ngoma si bure;
Mara atakua napepo la ngono;
-wengine ni mapungufu yakibndamu siwezi mkoso mungu
Kwa ilo laumbaji ni wachache pia nilikua nao (viziwi,kumbuku ndogo,n.k)ni wachache sina
Tatizo nao kbisa(honestly)

-Tatzo kubwa Lipo kwa hao waskendo Lina niumiza limenipeleke kuona ninakanuksi labda maana imenikuta sana
Nimepumzka kwa sasa ni miezi imepita kwakwel...
Nimecheck afya iko vizur Lakin nahisi nibahati yngu pia lkn skendo kwa hao ninakua nao linarudisha nyuma sana


Lisemwalo Lipo ndo wasiwasi wangu (waswahili)wadau haya mambo yakoje kwenu nidalili gani huko baadae linaniwazisha sana
Happy Valentine's day to all!
unaujumbe wakutueleza ila umeshindwa kutuambia
 
Kwani wewe ni Malaya kweli?
Ngoma umepima huna...
Kwani una pepo la ngono kweli?

Kwa maneno yako ni kwamba washakulalia wengi wengi hadi viziwi, na wenye skendo...
 
Calm down mkuu. Umepanic ndio maana unashindwa kutuelezea vzr. Najua mapenzi yanaumiza,tena cku kama ya leo.

Ukitulia njoo uedit uzi wako,uandike tatizo lako vzr.

Asante.
 
Tulia kijana umri wako bado mdogo sana,soma kama unauwezo au chunguza kaulizako na tabia yako utaipata sababu...
 
Sijui kama nimekuelewa vizuri ila tulia tu na kusali sana utampata mtu sahihi kwa wakati sahihi.
 
Back
Top Bottom