Nina shauku ya kukutana na watu hawa face-to-face!

// Ad Code here

Deodat

JF-Expert Member
Sep 18, 2008
1,274
272
Kutokana na michango yao hapa JF, nimejikuta nikiwapenda sana (ni agape love wandugu sio vingine) members wafuatao na nitafurahi sana siku nikifanikiwa kuwaona uso kwa uso:

1. Asprin
2. FirstLady
3. PakaJimmy
4. Mwanakijiji
5. Pasco
6. Acid
7. Nyaningabu
8. Nyamayao
9. Fidel
10. Roya
11. Rose80
12. The Finest
13. Rutashubanyuma
14. Gender sensitive (Regia)
15. Mwanajamii one
16. Gaijin

Inshallah Mungu akipenda!
 
Thanks Deodat,

ukifuatilia sana utagundua ni rahis sana kukutana na ma-kazin,

Leo NN alikaribisha supu, na kila siku kuna mialiko inaendelea... Baba G leo anaandaa gathering ya Kumpongeza GS just stay posted na utapata PM

One "AGAPE" love
 
Thanks mkuu.

Naona nimekamata namba moja hapo, au haihusiani? Karibu mkuu.....Asprin anapatikana bar yoyote ile inayouza Serengeti au Valeur iliyopo Daslam. Nami pia natamani sana kukuona tuongeze idadi ya marafiki.
 
Asante One luv, aisee nimekuandalia samaki(Ila sasa hapa JF ni tusi sijui kama utaweza kumla) pia Mbusi bila kusahau Safari Wota na Valuu vikao vyetu ni muhimu sana kukuona kuongeza idadi ya marafiki
 
Thanks Deodat,

ukifuatilia sana utagundua ni rahis sana kukutana na ma-kazin,

Leo NN alikaribisha supu, na kila siku kuna mialiko inaendelea... Baba G leo anaandaa gathering ya Kumpongeza GS just stay posted na utapata PM

One "AGAPE" love

Cousin hivi nini kimekupata hivi vikao vyetu mbona hauudhurii, washauri kama nyie kwenye chama ni muhimu sana vinginevyo chama kitapoteza mwelekeo
 
Kutokana na michango yao hapa JF, nimejikuta nikiwapenda sana (ni agape love wandugu sio vingine) members wafuatao na nitafurahi sana siku nikifanikiwa kuwaona uso kwa uso:

1. Asprin
2. FirstLady
3. PakaJimmy
4. Mwanakijiji
5. Pasco
6. Acid
7. Nyaningabu
8. Nyamayao
9. Fidel
10. Roya
11. Rose80
12. The Finest
13. Rutashubanyuma
14. Gender sensitive (Regia)
15. Mwanajamii one
16. Gaijin

Inshallah Mungu akipenda!

Hapo kwenye bluu lazima upate idhini yangu tafadhali........!!!
 
Cousin hivi nini kimekupata hivi vikao vyetu mbona hauudhurii, washauri kama nyie kwenye chama ni muhimu sana vinginevyo chama kitapoteza mwelekeo
Mkuu nilikua safari ndio nimerudi, wiki hii yote nipo bongo sana tu
 
kutokana na michango yao hapa jf, nimejikuta nikiwapenda sana (ni agape love wandugu sio vingine) members wafuatao na nitafurahi sana siku nikifanikiwa kuwaona uso kwa uso:

1. Asprin
2. Firstlady
3. Pakajimmy
4. Mwanakijiji
5. Pasco
6. Acid
7. Nyaningabu
8. Nyamayao
9. Fidel
10. Roya
11. Rose80
12. The finest
13. Rutashubanyuma
14. Gender sensitive (regia)
15. Mwanajamii one
16. Gaijin

inshallah mungu akipenda!

Na mama big je?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom