Kuacha na kuachwa! Ipi ni shughuli pevu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuacha na kuachwa! Ipi ni shughuli pevu

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Teamo, Apr 2, 2009.

 1. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #1
  Apr 2, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  WAKUBWA!
  katika maisha ya mapenzi,malavidavi na mashamsham yote,lipo swala a UPANDE WA PILI WA MAISHA YA MAPENZI......!which is KUACHA,na KUACHWA.

  Ninayo imani kwamba matukio haya mawili yana hisia tofauti,maumivu tofauti,n.k n.k

  bila kuangalia chanzo kinachopelekea maamuzi haya YENYE UCHUNGU MKUU (hasa kama anaelifanya,au anaefanyiwa ALIPENDA),KUNA MOJA WAPO linaweza kuwa 'SHUGHULI PEVU'

  NAOMBENI TUJADILI,ipi inaweza kuwa shughuli pevu?
   
 2. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #2
  Apr 2, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Kuacha si ni hiari? Kuachwa ndo shughuli!
   
 3. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #3
  Apr 2, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  WEWE BADO HUJAPENDA,then UKAUDHIWA,ukalazimika kuacha!
   
 4. s

  seer Member

  #4
  Apr 2, 2009
  Joined: Apr 2, 2009
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mh! ktk mapenzi kuachwa ni soo zaidi but inategemea na chanzo cha kuachwa sometimes mtu anaforce mwenyewe kuachwa.....
   
 5. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #5
  Apr 2, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Mkuu,
  Bado sijaikuta hiyo.
   
 6. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #6
  Apr 2, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0


  kuacha ya hivi nadhani mna kauwezo ka kurudiana kwa kuweka tofauti zenu mezani then mnasonga! kuachwa ni shughuli, kwa yoyote aiyepitia hiki kitendo anajua maumivu yake looo, mapenzi kitu kingine.
   
 7. kisale

  kisale Senior Member

  #7
  Apr 2, 2009
  Joined: Mar 3, 2009
  Messages: 111
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Sidhani kama kuna la kujadili hapa,kwa sababu imekaa straight,kuna mtu ambaye hajui kuachwa ndio kubaya?leta topic nyingine yenye complication.
   
 8. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #8
  Apr 2, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  NYAMAYAO!
  kuacha nako NI BALAA TUPU.tena impact yake NI ENDELEVU.unajua ukimfanyia mtu kitu UNFAIR,ukamfrustrate,DHAMIRA INAKUSHITAKI SANA..........!
   
 9. ram

  ram JF-Expert Member

  #9
  Apr 2, 2009
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 6,194
  Likes Received: 898
  Trophy Points: 280
  Kuachwa ni soo, usiombe ikakutokea.
   
 10. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #10
  Apr 2, 2009
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  Ukiwa unampenda mtu haswaa vyote ni vigumu yaani kuachwa ama kuacha kutokana na sababu mbalimbali.
  ILA kuachwa ni shughuli pevu zaidi mbaya zaidi kwa yule uliyempenda.
   
 11. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #11
  Apr 2, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0

  Mpaka uamue kumwacha mtu..hukurupuki tu.Unakuwa umepima, ukalinganisha na kuchukua uamuzi.Mtu kama unampenda kikweli huwezi tu siku moja ukamwacha bila sababu.Wapo wanaolazimishwa kuachana kwa misingi labda imani zao zimewakataza au wazazi wamewakataza n.k lakini hawa wanaachana kinadharia tu.Wanapopata fursa hujiiba na kurudiana hata kama ni kwa muda!
  Labda DGEOUFF utupe uzoefu wa hiyo impact endelevu.
   
 12. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #12
  Apr 2, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0

  sis! usiombe ikukute! ilinitokea enzi hizo looo, bora ungesema tumegombana/korofishana, 2po pa1 jioni, kesho yake unamcal mtu hapokei cmu, msg hazijibiwi! baada ya cku kadhaa anaku2mia sms "naomba tufikie hapa tulipofikia, nina mambo yangu binafc yananikwaza ningependa nitulie mwenyewe! ni byfnd wa 2yrs! i was shocked! nilimpenda sana yule mtu, hapana! nilisema ctakaa nipende tena, mungu kaweka kitu kusahau! after 1 yr ananical kutaka 2oane ana mazungumzo na mie, nikamwambia 2zungumzie kwenye cmu me kwasasa ni mchumba wa mtu na nipo mbioni kungia ndani! nilishangaa aliponijibu" wewe ndio ulikuwa chaguo langu plz badili mawazo urudi kwangu, kote cjapata m'mke kama wewe, naomba 2rudiane na ndoa ya haraka sana 2ifunge"...cjui kama mwanaume atatabirika kweli!
   
 13. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #13
  Apr 2, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  belinda,
  nimeisoma hadi hapo nilipoinukuu hii post.maanake mimi nazungumzia UPENDO HUO WA HASWAAAAAAAAA
   
 14. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #14
  Apr 2, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Duh nyamayao pole mpenzi nadhani it was a shock of the year to you. Hawatabiriki hawa ila nasikia people say ni bora uolewe na mwanaume anayekupenda sana kupita unavyompenda wewe sijui kama ina ukweli. Maana wakijua unawapenda huota mapembe hawa (Inawezekana sio wote but hao walopita katika dunia yangu walikuwa hivi wote.

  Naungana na Ally Choki na Nyota Ndogo- Nimeamua sitopenda tena, Kila nikipenda mwishowe naumia!!
   
 15. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #15
  Apr 2, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Kuachwa kuachwa ni shughuli pevu kwa yule uliye mpenda ....hicho ni kibuti kinauma kama umemzimia ndo anakumwaga dah unakuwa mdogo kama priton.
   
 16. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #16
  Apr 2, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  pole sissy hata kama ni history.
  Relationships zina challenges zake.Ukute alikuwa anataka uhuru wa kuhangaika huku na kule.. na huko alikoenda kote kakuta soo!Ndiyo anakumbuka shuka wakati asubuhi ishafika!

  Haya mambo ni magumu sana. Nimekumbuka thread moja hapahapa JF kuhusu BF wa zamani aliyekwishaoa na sasa anamfuata bibie! Yatakuwa ndio hayahaya tunayoyazungumzia hapa.
   
 17. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #17
  Apr 2, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Hahahaha mi nafrahi sana jukwaa hili lina watu wake huwakosi ukicheki huku lazima utamkuta Nyamayao ukirudi nyuma unamwona Brenda Jacobo dah ukisimama kidogo hapo unamwona Mwanajamii one ukisema utoke unamkuta Womenofsubstanc.....yaani raha tupu michango yenye akili iliyo simama.
   
 18. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #18
  Apr 2, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145

  HAPA NIMEPAPENDA!
  ningependa kukupeni uzoefu wangu kwenye hii 'sustainable-impact'.lakini kabla ya kufikia huko ningependa MNIAMINI JAMANI.kuna impact moja inakuwa kama JINAMIZI!UNAKUTA HUNA AMANI.unasononeka,roho inakuuma

  .........hatima ya yote utamtafuta na kumwomba msamaha,ili UPATE PEACE-OF MIND.

  anaeachwa huwa anaumia mwanzoni(kama alipendalakini finally,ni kama maumivu huwa yanaisha.

  ila anaeacha!........anafanya kwa kukomoa na anajiona kawini mwanzoni mwa picha(hasa kama alifanya ivo kwa ubabe wake tu).kama alipenda LAZIMA ATAUMIA SANA,kuna vitu vingi atavimiss sana.anaweza hata kujiingiza kwenye ulevi,au kuwa kicheche ILI APATE RELIEF

  TRUST ME!hii kitu jamani muiangalie kwa three dimension mtajua tu
   
 19. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #19
  Apr 2, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Mi nilisema hapo nyuma mkisha kuwa katika relationship kuachana moja kwa moja ni ngumu sana....kwa kifupi mnaingia katika uhusiano wa kihawala na hawa iwa hawaachani mpaka sijui iweje.
  Lakini unajua mwenyewe kama mlirewind au lah.
   
 20. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #20
  Apr 2, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Mahawala iwa hawaachani kamwe hata siku moja wewe aliyekufundisha ukubwa akiomba mrewind utamnyima?Lakini unajua wewe usiseme hapa iwe siri.
   
Loading...