How many pairs of pants do you have?

my name is my name

JF-Expert Member
Jan 12, 2015
2,017
2,390
Fashion magazine wamesema watu wangu wana nguo nyingi viatu lakini chupi wanazo 2 nyeusi na nyekundu. Watu wengi hawapendi kununua chupi.

Kwanini watu wangu hawapendi kununua chupi?

We una chupi ngapi?

Wamesema ukivaa leo ukivua unatakiwa usivae mpaka siku 4 zipite ndo uirudie kuivaa.
 
more than 50 Pairs.... napenda sana hizi nguo
Na unakaa nazo muda gani kuzibadilisha? Na utunzaje wake ukoje? Na ufuaji wake....unafua kila siku ama unarundika unafua weekend? Na unaanika wapi? Unazipiga pasi?
 
Hizo raha sana ...........pichu zinachosha kufua

Yes, disposables zina save kufua, kuanika, muda na always unakuwa fresh na salama, ukichukulia pia material nyingi za underwear siyo za kupiga pasi, vijidudu visivyoonekana kwa macho ni rahisi kuleleka humo.

Moja ya sababu kubwa za UTI za mara kwa mara ni underwear.
 
Back
Top Bottom