Natafuta mchumba wa kuoa

Sep 27, 2015
83
15
Habar
Mimi ni kjana mwenye umr wa miaka 25..
Pia ni mwajiriwa wa serikalin ni mwalim shule ya msing ambaye nimeanza kaz mwaka 2014
Natafuta mchumba mwenye sifa zifyatazo;
1;Awe muislam
2; umr miaka 18-24
3; Awe ameajiriwa au asiyeajiriwa
4; asiwe mrefu xana na mnene sana
Kwa aliye tyar ani pm au tuwasiliane kwa simu
0683708181
 
Mwl mzima hujui kutongoza....! Aibu gani hiyo na wewe. Embu ni pm nikufundishe namna ya kuanza kumtongoza yule hasa umpendaye. Hapa utapata walioshindikana kisha uje urudi humu kutuomba ushauri kuwa mmeshindwana
 
Mwl inawezekana ukawa unatia aibu sana. Hapo shuleni unapo fundisha au shule za jirani, hakuna walimu wa kike ambao bado hawajaolewa? basi subiri hawa watakao ajiriwa.
 
Habar
Mimi ni kjana mwenye umr wa miaka 25..
Pia ni mwajiriwa wa serikalin ni mwalim shule ya msing ambaye nimeanza kaz mwaka 2014
Natafuta mchumba mwenye sifa zifyatazo;
1;Awe muislam
2; umr miaka 18-24
3; Awe ameajiriwa au asiyeajiriwa
4; asiwe mrefu xana na mnene sana
Kwa aliye tyar ani pm au tuwasiliane kwa simu
0683708181
yaani wewe ni kenge kabisa, siku hizi hadi coca wamerahisisha mambo kwa ajili yenu but still unafail bado
 
Jamanii hebu mwacheni "mtafutaji" JF ni kimbilio pia cku hizi na mbona watu wamepata wenzi wa Maisha humu!??

Teacher Hili ni andalio lako la kazi,.endelea kutafuta wala ucchoke mwaya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom