carmel
JF-Expert Member
- Aug 24, 2009
- 2,836
- 267
Jana tu jioni,(kwa wale wa Tanzania) nilivyotoka ofisini nikiwa natafakari ishu ya mwana jamii one nikapitia mitaa flani ya kati. nikakutana na dada mmoja ana duka la nguo, alikuwa very upset kwamba hana mood ya kukaa dukani kabisa hiyo siku. Nikamuuliza kulikoni? Akaniambia, mdogo wangu niliyoyaacha huko nyumbani hata sitaki kuyawaza, maana hayavumiliki na huyu mume mi ntamwacha.
HOW interesing nikazidi kuprobe, aksema, juzi nimetoka dukani nikakuta simu ya mume wangu inachajiwa, ina misscall kama saba, na meseji, nikasoma mesji, kumbe ni mdada analalamika eti "ooh darling ujue mi naumwa hivyo usinikatishe tamaa, nachotaka ni mapenzi yako na kubembelezwa" mama watu akachanganyikiwa, akachukua namba ya yule dada akaenda hewani, akamuuliza meseji gani umemtumia mume wangu, akastuka, kumbe hajui kama jamaa ana mke na watoto, akasema kwa ustaarabu mi sijui kama kaoa, mi nilikutana naye wakati naenda kigoma kwenye treni tukatongozana na kupeana namba, tulivyorudi mjini tukatafutana na kuanza uhusiano na sasanina mimba ya miezi mitano.
Mama hadi hapo akawa hana la kusema akamuuliza mumewe kakataa katakata hadi leo, sas anasema hawezi kuendelea na yule mume na bla bla nyingi. sijui itakuwaje nikipata update ntazileta.
Lakini swali langu la msingi ni kwamba, kwa nini haya mambo ya kucheat yanaongezeka sana kizazi hiki? Yani wanaume hawakosi nyumba ndogo why?
Kwa wadada sijui sana maana sijasikia sana malalamiko toka kwa wakaka. Tufanyeje tuwaokoe waume zetu na nyumba ndogo?