Mara nyingi wanaume huwa tunajipendekeza kwa wanawake ambao hawatutaki

okoyoko

JF-Expert Member
Jun 15, 2014
2,665
3,628
Hellow,
Nimekuwa nikiona threads nyingi zinajitokeza humu mmu za wanaume wakilalamika mara demu flani nahisi ananichuna, mara flani mbona kaniacha, mara wanawake hawana shukrani, kumbe sometimes shida ni sisi wenyewe, bora utafute demu ambae ni wa kawaida lkn anakupenda na kukupa treatment unayoi-deserve.

Kumfukuzia demu kwa miezi 12, ili umpate hlf ukajisifie kwa machiz kuwa una demu flani au pale ushapita, sio ujanja

The end
 
mtaka cha uvunguni sharti ainame , sasa bila kijipendekeza utapataje mzigo au ulitaka ajipendekeze yeye afu umwite malaya
 
kwa iyo nyie mnafosi kingi, hlf hamjanielewa ninachokimaanisha...........
 
Mwanamke wakuniletea maringo sijui dharau...

I just cant rest till nimvue pichu then napiga chini kwa dharau kuu na kuhakikisha anajiona trash....ndio roho yangu itatulia.

Ila wengi tunakosea...inabdi u play as if ur the prize/trophy to be won....dem atajileta mwenyewe tu kisha watafuna.
 
Wanaume hatufukuzii 'demu' mwaka mzima.....

kwa lipi labda.....
 
Hakuna asiye penda kitu nzuri..shida ni kwamba hiyo nzuri inafuatwa na watu 100 so yeye hufanya 1st selectn, 2nd selectn hadi 3rd selectn hakika kama wewe mfuko hausomi vizur unaweza ukaingia na kuchomolewa chap..Wakakamata wengine wenye kueleweka..
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom