Naenjoi zaidi nikigegeda michepuko kuliko mke wangu

ankol

JF-Expert Member
Aug 21, 2012
2,099
3,461
Habarini wadau.
Mimi nimeoa miaka miwili iliyopita na nina mpenda sana mke wangu.
Tatizo ni kwamba ninapofanya mapenzi na mwanamke wa nje naenjoi zaidi kuliko mke wangu.
Yani ile package ninayopataga navyotembea na mwanamke asokua mke wangu ni zaidi naa ile nayopata napokua na mke wangu.
Hali hii inanifanya niangazie michepuko zaidi ya mke kitu nachoogopa.
Nishaurini wana jf kitu gani nifanye ili hali hii isinitokee ukichukulia nampenda sana mke wangu.
 
Si wanakuwa wapya ao wa nje, ata kipindi unaanzanae ukienjoy now ushamchoka miaka miwili mingi sana hiyo
 
Machaguo mazuri tunayoyafanya maishani hutujengea misingi imara ya furaha na amani mioyoni mwetu....kukosea kufanya chaguo sahihi katika maisha yetu huwa ni chanzo cha mahangaiko na mateso katika maisha yetu ya kila siku.....mahusiano ya ndoa yanachukua sehemu kubwa ya maisha yetu kwa kuwa wenza wenza wetu hushirikiana nasi kwa kila kitu chetua na hutazamiwa kuwa hivyo katika kipindi chote cha maisha......hivyo basi ni vyema busara ikatumika pindi tunapochagua wenza wetu kwani kupitia kwao ndio tutaona tamu ya maisha na vile vile kupitia kwao tunaweza kuona majuto ya maisha....

Suala lako linaonyeshaa kuwa hukufanya chaguzi sahihi wakati unafikia maamuzi ya kuoa bali ulifanya hivyo kwa shinikizo fulani...kwa kawaida maamuzi ya shinikizo hubadilika baada ya shinikizo kuondoka...na ndio maana leo hii wewe hufurahii ndoa yako...na hilo sio jambo la kawaida kwanzo ni mwanzo wa kuvunjika kwa ndoa kama wahusika hawatafanya jitihada za makusudi za kuinusur ndoa hiyo......

Inawezekana kuna mabadiliko ya kimwili ambayo huyafurahii kutoka kwa mwenzi wako...
Inawezekana ni mabadiliko ya tabia....lakini haya yote yanawezekana yasifike tamati bila ya wewe mwenye kukereka kyaweka wazi kwa lengo la kuimarisha ndoa yenu....lakini vile vile muitikio wa mwenzangu utategemea na wewe jinsi utakavyo mfikishia ujumbe huo...jitahidi usimfikishie kwa njia ya kejeli bali kwa hekima na mahaba ya hali ya juu.....

Nasisitiza kuwa tukio la mwanandoa kutofurahia tendo la ndoa na mwenzake ni dalili za awali za ndoa kuvunjika na sio jambo la masikhara......

TAFAKARI CHUKUA HATUA.....
 
Shida ni jinsi unavyofanya ukiwa na mkeo ukilinganisha na hao wa nje. Nahisi nje unakuwa huru kufanya utakavyo ila kwa mkeo yawezekana hauko huru kutokana na kitu huwa kinaitwa maadili. Mke na mme wanatakiwa kuwa huru sana ktk hilo jambo ikiwemo kuzungumza namna gani mwingine anafurahia. Mkiweka maadili km vile style moja tu ya kifo cha mende shida lazima iwepo maana huko nje unapewa zaidi.
 
Hivi mtu unawezaje kumuanika mkeo wazi namna hii eti hajiwezi (hana package nzuri)? Halafu cha ajabu hapo hapo unasema unampenda, inawezenakaje? Usipomsitiri wewe nani atamsitiri?. Maadili ya ndoa yanaanza kwa kumsitiri mkeo/mumeo.
 
Habarini wadau.
Mimi nimeoa miaka miwili iliyopita na nina mpenda sana mke wangu.
Tatizo ni kwamba ninapofanya mapenzi na mwanamke wa nje naenjoi zaidi kuliko mke wangu.
Yani ile package ninayopataga navyotembea na mwanamke asokua mke wangu ni zaidi naa ile nayopata napokua na mke wangu.
Hali hii inanifanya niangazie michepuko zaidi ya mke kitu nachoogopa.
Nishaurini wana jf kitu gani nifanye ili hali hii isinitokee ukichukulia nampenda sana mke wangu.
Imagine na mkewako naye anawaza hivi hivi
 
hapo point kubwa ni HISIA kwa sababu inaonekana hauna hisia kwa mkeo. au hukufanya chaguo sahihi la kumuoa mkeo labda hayuko type ile ya michepuko unayokuwa nayo
 
Huyo mkeo inabidi iwe mashine ya kutotoa tu vifaranga,hakuna namna,jitahidi kupiga sana nje ili umpake na magonjwa fala wee!
 
Mimi mke wangu nampenda na huwa hachoki ila mechi za nje wanajifanya wamechoka... Baada ya gemu moja.. Mara ooh kubwa sana mara unaniumiza aaaa wife ndio kila kitu
 
Mimi mke wangu nampenda na huwa hachoki ila mechi za nje wanajifanya wamechoka... Baada ya gemu moja.. Mara ooh kubwa sana mara unaniumiza aaaa wife ndio kila kitu
Inamaana mkeo ndio analimudu hilo kubwa!! hahahahaha
 
hiyo ni kawaida... cha nje ni kitamu ila ujue ndicho kitakacho kufanya uachane na mkeo jambo ambalo halitapendeza.. Jiachilie kwa mkeo uwe huru kabisa kimapenzi na utafurahia..
 
Ukiona hivyo, basi ujue na mkeo anaenjoy sana akiwa anatoka nje kuliko ukiwanae wewe kwa bed...
That's why hakupi ushirikiano wa kutosha kwasababu hafurahii tendo na wewe zaidi ya kwamba yupo kwako kwaajili ya ndoa tu...
What I can say...
 
Vitu vya kijificha ni vizuri kuliko halali... Lakini mkuu ukweli ni kwamba mkeo humpendi kabisa bila unaishi naye kwa mazoea tu ... Muhimu ni wewe kuanza kumpenda mkeo na kumtengeneza vile wewe u nataka awe .. Nadhani mabadiliko ya mwili anayokuwa nayo wewe hukujiandaa kwa hilooo .. Sasa kama unania kweli ya kumfurhia mkeo achana na formality yani kila ukija unamgongea chumbani tena kitandani kifo cha mende kama unabafu la chumbani siku ingine mgongee bafuni siku ingine sakafuni .. Siku ingine mshikishe kwenye kochi elimradi vurugu tu ili ukikumbuka Jana usiku alivyobinua kiuono vibaya au vizuri utapata mzuka na utamfurahia tu... Acha formal katika maisha ya ndoa .. Ndoa siyo shule useme unatakiwa ufuate sheria embu jiachieni bwana talk dirty language ha ha ha wazungu wanasemaga hivyo....
 
Ukiona hivyo, basi ujue na mkeo anaenjoy sana akiwa anatoka nje kuliko ukiwanae wewe kwa bed...
That's why hakupi ushirikiano wa kutosha kwasababu hafurahii tendo na wewe zaidi ya kwamba yupo kwako kwaajili ya ndoa tu...
What I can say...
Na huo ndiyo ukwel aisee.... Usipo bila vizuri wenzio wanatafuna hadi mifupa
 
Back
Top Bottom