How to be a man every woman dreams to be with | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

How to be a man every woman dreams to be with

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by M-bongotz, Mar 9, 2010.

 1. M-bongotz

  M-bongotz JF-Expert Member

  #1
  Mar 9, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,732
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Leo nimetumiwa barua pepe na rafiki yangu mmoja wa kike, content ya barua pepe hiyo ilikuwa ni jinsi gani ya kuwa mwanaume ambaye anaweza kuvutia kila mwanamke.., nimeona ni vyema kushare nanyi hapa jamvini ili na wengine wafaidike na hii lecture.

   
 2. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #2
  Mar 9, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 160
  Fairy Tales!
   
 3. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #3
  Mar 9, 2010
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Kwa hii dunia yetu y asasa FEDHA NI KILA KITU...
   
 4. Che Kalizozele

  Che Kalizozele JF-Expert Member

  #4
  Mar 9, 2010
  Joined: Jul 20, 2008
  Messages: 778
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Nice staff,thank you
   
 5. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #5
  Mar 9, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Na hakuna mwanaume anayeweza kumvutia kila mwanamke.
   
 6. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #6
  Mar 9, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,199
  Trophy Points: 280
  Na hata ningeweza kuwa mwanamme nitakayemvutia kila mwanamke nisingetaka kuwa hivyo.

  Can you imagine vibibi vyote chasing you? Migobole yote chasing you? Sunguratope wote chasing you?
   
 7. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #7
  Mar 9, 2010
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,921
  Likes Received: 83,430
  Trophy Points: 280
  What about Denzel Washington? I think 99.99999% of Women who have seen DW live or on pics are attracted to him.
   
 8. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #8
  Mar 9, 2010
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,740
  Likes Received: 8,317
  Trophy Points: 280
  1. Nadhani hapo umeelezea vizuri sifa za mwanaume ambaye wanawake vicheche wanamtaka!!!!"How to be a man every woman dreams to be with in bed."
  2. Sifa kuu na ya muhimu ya mwanaume ni yule anayemhofu Mungu. Mwanaume kama huyu anaweza kuiongoza familia yake, na jamii kwa ujumla. Na ndiyo mwanamke wa kweli anaweza kuvutiwa naye.
  I beg to differ with you brother...!??
  *Kiranga, nakuunga mkono...hata mimi sitaki!!!!
   
 9. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #9
  Mar 9, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,710
  Trophy Points: 280
  Best akili mkichwa. Pengine ameona huna hizo sifa ndo akaamua kukutumia ili ujifunze. It's a joke Buddy, ni nzuri!
   
 10. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #10
  Mar 9, 2010
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Jirani... umeniacha hoi! Lakini ukimlinganisha na vigezo vilivyowekwa hapo juu anavyo pia...kwa kuangalia what he does in his movies na pia deducing from his long term Marriage to Paulette his wife with whom they have 5 children!


  A man with a substance. It is important to be a man with sense because a man with a substance is an attractive man. Women find it amazing and attractive to see men who are intelligent and know what they are doing and saying. An easy go lucky man is a big turn off to most women. To be the man every woman dreams to be with, it is important to have goals and plans in life.
  SO VERY TRUE!

  A courteous and kind man. It melts the heart of women to see a man who is courteous and kind to everybody. Being nice not only to her but also to other people will increase your attractiveness. Although modern women believe that they can do everything a man can do, being a gentleman is still a good trait that can attract women. Do not hesitate to offer assistance, open doors and pull a chair for her because any act of kindness makes you more attractive.
  NAAM!.. asingeweza ku sustain his marriage kama angekuwa mtu mbaya.

  A confident man. Being confident is one key to attract women. The man every woman dreams to be with is someone who is secure and confident with what he does. A man with a lot of insecurities and hang ups is a big turn off to most women. If you do not have it, there are ways to develop confidence with women and with constant practice; you will become at ease around women.
  IT SPEAKS FOR ITSELF

  A man with sense of humor. Some women do not want to be with a man who is very serious. Women need some good laugh and someone who can share the laughter with her. To be the man every woman dreams to be with, you have to know how to make her laugh. A woman can't let go of someone who can brighten up her day and can make her laugh.

  A man who knows how to groom. Being handsome doesn't mean you have look like those of Hollywood stars, but you can project a handsome image by knowing how to groom. Smell good, appear fresh, clean and wear the proper haircut and dress that suits your personality.
  so true!
   
 11. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #11
  Mar 9, 2010
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,740
  Likes Received: 8,317
  Trophy Points: 280
 12. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #12
  Mar 9, 2010
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  ebbynature.... u r so right!
  A God fearing man will always be blessed!
  A God-fearing man will make his household happy and successful....
  many people think of outward attributes... a handsome man, who has no fear of God is a curse maana he will be like a butterfly coz he thinks he will be invited wherever he flies to... na akiwa na fedha tena ndio balaa zaidi...... usiombe ukutane na wa hivyo!
   
 13. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #13
  Mar 10, 2010
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,740
  Likes Received: 8,317
  Trophy Points: 280
  Amen...
  no wonder u r still counting ur blessings!!!
   
 14. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #14
  Mar 10, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135

  Wengine mikumbo tuu mkuu,huyo DW sio kwamba ni hb wa kufa mtu na ww kama kidume unakubari anakupita?mwanamke hupendezwa na mambo mengi huyo DW ana fedha pia ni famous mkuu,kila mwanamke angetamani kuwa na Akon eti tu ni famous vivyo hivyo kwa huyo DW...
   
 15. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #15
  Mar 10, 2010
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,921
  Likes Received: 83,430
  Trophy Points: 280
  Jirani ndiyo hivyo na hivyo ulivyoviongezea navyo ni muhimu sana jirani. Ukisoma mambo yanayoandikwa (na wanawake) kuhusu DW katika mablog mbali mbali ya watu wa rangi mbali mbali duniani utashangaa na kuelewa jinsi alivyokuwa na mvuto wa hali ya juu kwa akina Mama. Pia hata maactress mbali mbali waliofanya kazi naye wanamzimia sana kwanza kuhusu alivyo handsome, work ethics zake na jinsi anavyowatreat wanapokuwa wanashoot movies. Julia Roberts ni mkali sana na kacheza movies nyingi ambazo ni nzuri sana. Niliwahi kuona mahojiano yake alipoulizwa actor aliyeenjoy kufanya naye kazi kule Hollywood alimtaja DW na yupi katika aliowahi kufanya naye kazi angependa tena kufanya kazi naye alimtaja huyo. Actresses wakali wa Hollywood ambao hawajawahi kufanya naye kazi wengi wanataka wacheze naye sinema kuliko actor mwingine yeyote kule Hollywood. Hivyo utaona ana demand kubwa sana lakini cha kustaajabisha hapati movies nyingi.

  Sasa pamoja na mvuto mkubwa aliokuwa nao kwa wanawake na vishawishi mbali mbali lakini moral values zake ni za hali ya juu ndiyo maana hatujasikia “hanky panky” zozote zinazomuhusu. Yeye pamoja na Samuel Jackson wamekuwa ni baadhi ya maactors ambao ndoa zao zimedumu kwa muda mrefu sana kitu ambacho si cha kawaida kule Hollywood.

   
 16. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #16
  Mar 10, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,670
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Hivi mvuto wa Denzel ni nini? I'm just curious...that's all
   
 17. bht

  bht JF-Expert Member

  #17
  Mar 10, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  WOS I never knew we shared the same status
  Anyway nakubaliana na wewe kabisaa kwenye the whole point of a God fearing man!!!
  Kumcha Mungu kwa kweli ni chanzo cha mema yote......

  Lets keep on counting our blessings mama!!
   
 18. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #18
  Mar 10, 2010
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  hii thread kama inanizungumza mimi vile.
  thanx......
   
 19. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #19
  Mar 10, 2010
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Unamuogopa Mungu?
   
 20. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #20
  Mar 10, 2010
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  very much so.
  na pia naamini i am so blessed,so i should be very gratefull to god.
  do i look like a non believer????
   
Loading...