Disuma
Member
- May 23, 2014
- 62
- 19
Habari wanaJF,
Ninampenzi wangu nampenda na nikonae for almost 5 years now. Ni mrembo sana, tunaendana na najitahidi kufanya everything a woman deserves.
Ila...
Tatizo kubwa ni kila ninapokuwa na rafiki wa kike maybe nlisomanae wayback nikaanza kuwasiliananae au nmefahamiananae kwenye kazi zangu basi atafanya juu chini amtafute na aharibu urafiki wangu na huyo msichana.
Anawafahamu because mostly anaona nawasiliananao na akiuliza nakuwa direct kumwambia who that person is. So from there anaweza akamtafuta cause I don't put passwords thats to say niko open.
Despite all that yeye ana "rafiki" zake wa kiume ambao mimi ninaheshimu privacy yake na sijawahi kufanya/siwezi kufanya kitu kama hicho.
Ninaelewa kwamba ukiachana na sisi kuwa in a relationship kila mtu anahitaji marafiki na ndio maana siingilii privacy yake, ila ni tofauti kwa yeye anavyonifanyia hali inayonichosha nafkiria nimpige chini kwasababu nimeshaongea sana naona anakuwa too much.
What should I do my bros/sisters?