Ukijikuta katika hali ambayo humpendi tena mwenza wako mke/mme. Mnawatoto wawili au wa tatu.
Kwa sababu mbalimbali imetokea humpendi tena mwenza wako. Umejaribu kujilazimisha, ume pretend mmeongea lakini wapi. You are no longer in love any more.
Unatamani uamke asubuhi ukute ametoweka kusiko julikana. Hadi wazazi na wachungaji wamejaribu lakini wapi. Ila mwenzako bado anakupenda na anasikitika hali hiyo.
Je unafanyaje 1. Kama wewe ndo mapenzi yameisha kwako mwenzako. Kama mwenzako hana tena mapenzi na wewe.