Tahadhari: Zoezi la kunenepesha ''kibamia'' huko Nairobi, lagharimu maisha ya mwanaume mmoja

sirluta

JF-Expert Member
Nov 28, 2012
6,325
2,486
Nairobi, Kenya: A man almost lost his precious life after a botched and desperate attempt to boost the size of his manhood including performance in bed. Details of the case published in the International Journal of Surgery reveal that it took an urgent and delicate operation by specialist surgeons at the Kenyatta National Hospital to save the 26 year old man.

The man, whose name was kept confidential, had inserted a metallic ring around the base of his manhood in what he believed would make his organ bigger and better in bed. The ring was half a centimeter thick. But tragically, the ring got stuck causing his manhood to swell significantly, leaving him in piercing pain and even unable to pass urine.

The dubious ring had come as part of a manhood enlargement kit that he had apparently purchased. "The kit had instructions that the ring should be placed around the base of the sexual organ for three hours every two weeks. Such rings are used to prolong male erections by reducing the blood flow of blood out of the manhood," wrote the doctors in the journal article.

They added: "The patient had been instructed to insert the penile ring then stimulate an erection for duration of three hours every two weeks. This regime would increase the length and thickness of his penis."
 
Tatizo watu hawaridhiki na walichojaaliwa ila mbona kuna njia salama tu za kukuza hivo vitu kwa kutumia dawa mitishamba any way unaikuzisha ila iweje wakati wapo wenye papuchi vidogo.
 
Tatizo watu hawaridhiki na walichojaaliwa ila mbona kuna njia salama tu za kukuza hivo vitu kwa kutumia dawa mitishamba any way unaikuzisha ila iweje wakati wapo wenye papuchi vidogo.
mitandao inaleta shida, kuna dada mwingine tena docta by profesional wa kike nae alitumia ile ya kuongeza makalio akashikwa na kansa leo hii inasemekana yupo ocean road hajiwezi baada ya kumaliza elimu yake
 
Ukiwa mpenda ngono utajikuta umeshawishika kuongeza urefu na unene wa pipe.. hii yote ni kukosa akili na fikra sahihi juu ya maisha ya mbele.... mnh ujinga ni zaidi ya mzigo tan 1000000
 
ila chanzo c wanawake ndo hawaridhiki nayo?
Tafuta atakae ridhika nacho hicho kuna mambo usipojikubali mwenyewe ni muhali watu kukukubali.Huo ndio mpini uliokabidhiwa siku unaingia duniani sasa modifications madhara yake ndo hayo.
 
Ukiwa mpenda ngono utajikuta umeshawishika kuongeza urefu na unene wa pipe.. hii yote ni kukosa akili na fikra sahihi juu ya maisha ya mbele.... mnh ujinga ni zaidi ya mzigo tan 1000000
mbona wengine tunakimbiwa na mipini yetu ya kawaida vp hao wanataka kuikuza wanadhani kuna kipi kipya? Kuna kale kausemi kuwa ''fupi tamu, ndefu hakika inakera''
 
Kuna binadamu wengine yaani ata sijui akili zao zina kutu...!kufanya mambo ambayo ata-risk maisha yakee...!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom