Does Age Really Matter?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Does Age Really Matter??

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by MwanajamiiOne, Nov 15, 2010.

 1. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #1
  Nov 15, 2010
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Dear Mamboz! Hope wote wazima

  Ninauliza tu kama ni kweli......... Leo asubuhi nilikuwa nasikiliza mahubiri kutoka kwenye Radio moja hapa Dar. Alikuwa mchungaji wa kike akawa anasema kuwa ni muhimu kwa wanandoa kuhakikisha kuwa wanapishana vya kutosha kiumri................ Na alisisitiza kuwa Mwanaume anatakiwa kuoa mwanamke ambaye ni mdogo kwake kwani wanawake wana (tuna) zeeka mapema so to avoid mwanaume kuona aibu kuongozana na mkewe ambaye ataonekana mzee kuliko yeye ni bora akaoa mke mwenye umri mdogo kuliko yeye. Hii inaniletea maswali makuu mawili
  1. Is it true? If it is indeed then the,
  2. So usemi wa mapenzi ni maua, popote huchanua sijui age aint nothing but a number e.t.c haiapply practically?

  Wakuu, ninaomba msaada wenu juu ya hili
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Nov 15, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Absolutely age does matter! If I am in my mid twenties and I marry a woman in her early forties, after 15 years I doubt I'd still find her attractive, not to mention other issues such as menopause, decreased libido, and all that jazz. So definitely age matters. You don't want the discrepancy to be significant.
   
 3. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #3
  Nov 15, 2010
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  ............Thanks NN....... I just wanted to confirm my worries. Aksante kwa jibu zuri
   
 4. GFM

  GFM JF-Expert Member

  #4
  Nov 15, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 708
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  I second you there, lakini on the other hand mi sioni tatizo kama mmetofautiana kidogo i.e. mme umemzidi mke miaka 2 au yeye amekuzidi
  miaka 2 au mko sawa. Unless kama kuna matatizo ya ugonjwa au ya kurithi ambayo yanaweza kumfanya mmoja aonekane mzee kuliko umri wake. Wazungu wengi wanaolewa na wanaume wadogo kuliko wao.......... labda niseme hii sio culture yetu.........Hay MJ1 kama umepata kitu roho inapenda, don't look back ............. si unajua Mke wa lutu kilimtokea nini .....:smile-big:
   
 5. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #5
  Nov 16, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Ndiyo maana nikasema tofauti yapaswa kutokuwa kubwa. Miaka miwili wala siyo mbaya kabisa. Yaani tena ni safi sana
   
 6. W

  Wakuchakachua JF-Expert Member

  #6
  Nov 16, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 346
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni kweli na kama mwanaume ni mrefu sana kumzidi mwanamke ni posiible yeye kuonekana mzee mapema kuliko mwanamke, unajua wanawake inategemea sana shughuli na cosmetics unazotumia unaweza onekana mzee au kijana
  ni mtazamo tu masela msijende chuki.............
   
 7. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #7
  Nov 16, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  GFM nakubaliana na wewe pamoja NN kuwa both mwanamke/mwanaume kuzidiana umri wa miaka miwili sio mbaya tatizo ni hawa dada zetu hizo cosmetics wanazotumia at the end of the day the make look like their in their 40's wakati unakuta mdada ndio yuko kwenye 30's kitu kingine kinachochangia ni pia ugonjwa na chakula tunachokula in one way or another, kuna siku nilikutana na mwanamke ana ndevu and her face looks like she's in her 40's nilipouliza niliambiwa ana miaka 29 kwenye uso alikuwa amebandika cosmetics mpaka nilichoka she looked liked the JOKER wa kwenye movie ya (DARK NIGHT) BATMAN
   
 8. M

  Mkorintho JF-Expert Member

  #8
  Nov 16, 2010
  Joined: Feb 17, 2009
  Messages: 353
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Duh, huyo naye alipitiliza kutoka kumdhania ashagonga 40 hadi kuwa 29 c mchezo, akifika 35 ashakongoroka mbaya! Wa kike wengi wanadanganyana sana naudeiz kwny hizi make ups watumiazo, hawazingatii ushauri wa wataalam
   
 9. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #9
  Nov 16, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Sijui huyu mchungaji wa kike ana miaka mingapi?
   
 10. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #10
  Nov 16, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Rwakatare nini huyu?

  BTW, kuzeeka kwa mwanamke kunatokea kwa sababu kadha kama mifano ya hapo juu!...Lakini pia kuzazaa bila mpango pia humfanya mwanamke achoke sana...! Ukifananisha mwanamke wa kijijini ambaye ulimaliza nae may be shule ya msingi, kwakweli hutomtamani!
  Lakini pia factor ingine inayomzeesha mwanamke ni kwamba anawaza juu ya shughuli za pale nyumbani kuliko mwanaume!...

  Hata kama kuna h/girl, lakini yey ndiye anayepanga mipango yote ya chakula, usafi,ugeni, kulea- mind you , anatumia bongo na damu kwa kila tendo, wakati mwanaume mostly atakuwa anabadilisha channel za runinga! Kwahiyo kuzeeka kwa mwanamke ni kweli kupo beyond reasonable doubt!

  Hivyo sasa, nadhani ni busara muoaji akawa makini na umri wa mchumba wake wasizidiane sana.
  Difference ya(=) (+)(-)3 si mbaya sana!

  Huyo mchungaji hayuko mbali sana na ukweli, japo inabidi kuwa makini sana kueleza jambo kama hilo kwenye mahubiri, maana unaongea na watu ambao tayari wengine ni couples(na huenda zingine zina diff. hadi ya 7), sasa unaweza ukakuta unawakwaza baadhi, na kuwarudisha nyuma kiimani!
   
 11. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #11
  Nov 16, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Tuko pamoja PK
   
 12. Julz

  Julz Senior Member

  #12
  Nov 16, 2010
  Joined: Nov 10, 2010
  Messages: 107
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Its a biological fact kuwa wanawake wanazeeka mapema kuliko wanaume ila linapokuja suala la love age doesnt matter at all...we dont love someone bcoz of ONLY their physical appearance but rather the way they make us feel when they are around or not around us. And truthfully speaking most of the times we do not know why we love that somebody which means its not their outer beauty which makes us love them....
   
 13. M

  Mama Big JF-Expert Member

  #13
  Nov 16, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 488
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Darling.....Wanikatisha tamaa Mama KUBWA inamaana we Dig Dig hunifai kumbe bore mi nirudi kwa Big tu.... Nimuombe yaishe nirudi kwake

  PJ.... muulize GY kuhusu MAGAZIJUTO au BODMAS atakueleza vizuri jinsi ya kukalkuleti hiyo mambo....
   
 14. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #14
  Nov 16, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Darling mtazamo tu huo usikutishe, wala kamba haijakatika
   
 15. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #15
  Nov 16, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280

  MJ1 Nadhani kaongea ukweli lakini pia kuna wanawake ni wadogo kiumri lakini wana-maumbo makubwa cha msingi ni matunzo ,kama mama mdada utajitunza na kujipenda unaweza kuwa na 50 mtu akikuona akadhani una 40 matunzo yana matter zaidi
   
 16. M

  Mama Big JF-Expert Member

  #16
  Nov 16, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 488
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Roho ishaanza kuaga mwili kuelekea kwa Big....
   
 17. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #17
  Nov 16, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Tulia mama usijali una wivu na wewe, taratibu mimi ni wako tu sitakugeuzia kibao
   
 18. M

  Mama Big JF-Expert Member

  #18
  Nov 16, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 488
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Upendo wa kweli hauangalii sura wala maumbile hata kama atakuwa mzee lakini kama una true love kwake hutoweza ona chochote....utaendelea kumpenda na kumuona wa thamani vilevile
   
 19. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #19
  Nov 16, 2010
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  ndo maana nakupenda MAMA BIG THANKS
   
 20. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #20
  Nov 16, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Ni kweli Mama Big
   
Loading...