Natafuta mchumba wa kike Muislam

mahmouddy

Senior Member
Jan 29, 2015
128
30
Natafuta mchumba wa kike Muislam,mwnye kumcha Allah na mwenye maadili mema.
Umri 18-22 mwenye kuajiriwa au aliejiajiri,nipo serious na nahitaji mtu aliye serious pia,mimi ni mtumishi serikalini na sina mtoto
Elimu kuanzia Form4 na kuendelea

Kama haujakizi vigezo plz tusisumbuane.
NB sichagua dini wala kabila.
Mawasiliano0718388638
Txt nitajibu na hata uki beep ntakupigia
 

Attachments

  • Screenshot_2016-02-22-13-01-39-1.png
    Screenshot_2016-02-22-13-01-39-1.png
    11.8 KB · Views: 63

Similar Discussions

Back
Top Bottom